Taarifa ya Polisi ina mapungufu makubwa: Sakata la dereva wa serikali kutoa silaha na kumtishia dereva wa SATCO Dodoma

Banana Republic
 
BREAKING NEWS!!
Tetesi kutoka baadhi ya wafanyakazi ndani ya TARURA ni kwamba, huyo dereva wa Landcruiser mkonga, ni askari toka vyombo vya ulinzi na usalama. Na kweli gari hilo ni la TARURA.
Swali ni je askari wanatembea na bastola feki!!!
 
Lazima tatiso iko.
Dereva io kruza iko nguvu na hapana ogopa mtu?
Namna gani veve!
 
Ndugu zetu Polisi mjiangalie ni kweli mnafanya kazi kusaidia Usalama wa watu ila eleweni Dunia imebadilika sana kitendo pekee cha wananchi wote wale kukomaa hadi kumuokoa dereva mjue watu wamechoka kuonewa na wanajua kwamba utekaji na kupoteza watu INATOSHA...hatua inayofuata watu wataanza kupiga hao watekaji vibaya sana....

Haiwezekani mtu atekwe mchana kweupe na aende jumla jumla...imetokea sehemu nyingi tu hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…