Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Nawasalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugu zangu mheshimiwa Rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliunda tume ya Corona.
Taarifa ya tume imepokelewa Jana na wengi wanaendelea kutupa mrejesho ya kile kilichopo kwenye tume.
Naomba niseme taarifa ile sio yakwetu. Taarifa hii ni ya nchi iliyokumbwa na Corona na yenye hari tata sana. Taarifa hii nahisi ilikua ya Kenya sisi tumecopy na sehemu iliyoandikwa Kenya Tumeandika Tanzania. Tena Kenya yenyewe sio yaleo ni ile Kenya iliyoweka lockdown county 5, lakini yasasa haina huo mfumo unaopendekezwa na tume.
Wote tunajua nchi hii kila pembe hakuna taarifa za hilo janga hata toka kwenye mitandao ya kijamii hatuoni wala kusikia. Sehemu nyingi nchini toka 29 June 2020 serikali iliporuhusu shule kufunguliwa raia tuliachana na tahadhari za Corona. Masuala ya sanitizers, barakoa, maji tiririka na kutokukusanyika yalipotea.
Watu wanakula bata, misibani tunashiriki, viwanjani tunajaa, maeneo yote yamikusanyiko yanajaa mpaka basi lakini vifo wala wagonjwa wa Corona hakuna.
Mama yetu hajawahi kuchukua tahadhari ya Corona wakati wote alikua free ameanza kuvaa barakoa wiki mbili kabla ya ripot ya tume.
Leo Dunia inaanza kutengemaa, Ulaya viwanjani wameanza kuruhusu mashabiki, vifo vinapungua. Makundi yaliyopendekezwa na tume kuchanjwa yanatakiwa kuangaliwa upya.
Niombe wananchi tuchukue tahadhari lakini hii tume ituambie walikokusanyia data.