#COVID19 Taarifa ya tume ya Corona sio yetu watuambie walikoitoa

Mkuu wakubwa wa Dunia wameamua na wakiamua Jambo hauwezi kulipinga hata uwe Raisi wa nchi.
 
Alietaka kujua mwendazake aliathiri vipi taifa asome chapisho la huyu bwana. siku zote TAFITI hupingwa kwa TAFITI. nchi haithamini wala kutambua mchango wa wataalam.
Ni kweli asome chapisho la huyu mjinga!
Anapotoshapotosha tu...pendekezo la lock down ameliona ukurasa wa ngapi wa hiyo ripoti?
 
R.I.P Jpm! Ndo maana walikuwaisha kamanda ili watuue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…