Tzmzalendo og
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 337
- 136
Mfano wa waleeeee. Et dark skin n laaana😂😂😂endelea kumkumbuka mkuu na usichoke. unamiaka 9 ya kuugua sonona na vidonda vya tumbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano wa waleeeee. Et dark skin n laaana😂😂😂endelea kumkumbuka mkuu na usichoke. unamiaka 9 ya kuugua sonona na vidonda vya tumbo
Vp mbona unashupalia njia tulizotumia n mbaya kuna mumeo alienda na corona?Huna jipya zaidi ya kubeza juhudi za amkusudi kukabiliana na Covid.
Ninyi ndo mnataka watu wafe bila sayanzi kutumika .
Mbona mkupata malaria mnakimbilia kupima
Mbona mipata UKIMWI mnakimbilia kupimwa
Mbona mkihara mnakimbilia kupima
Na ninyi mliozoea kwenda kwa waganga wa kienyeji, hamjui kuwa KUPIMA kunaendana na STATISTICS ambazo nazo zinatumika ku analyse Afya ya Jamii.
Sasa nyie mmkekazana na Dorithy wenu kujifukiza, mnaua watu kwa kukosa hekima ya maarifa.
Tuthibitishie idad ya Vifo tz na kwann tunasongamana bt hali siyo kama Kenya wanaotake precautions?Tatizo la Mataga wanabisha kila kitu, wakati hawana hoja yoyote ya msingi. Kama kuna mapungufu mchukue "reverse burden of proof" mthibibitishie umma.
Hivi wewe kwenye sehem za kutolea huduma za afya umefanya research kujua nini kinaendelea au unaamua potosha , je ulifikili kamati ipite kila mtaa tz nzima ,maoni ya kamati lazima yajikite Sana hasa sehem za kutolea huduma uko ventilator zinaendelea Kama kawa Yani Sasa baki upotoshaji wako,Nawasalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugu zangu mheshimiwa Rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliunda tume ya Corona.
Taarifa ya tume imepokelewa Jana na wengi wanaendelea kutupa mrejesho ya kile kilichopo kwenye tume.
Naomba niseme taarifa ile sio yakwetu. Taarifa hii ni ya nchi iliyokumbwa na Corona na yenye hari tata sana. Taarifa hii nahisi ilikua ya Kenya sisi tumecopy na sehemu iliyoandikwa Kenya Tumeandika Tanzania. Tena Kenya yenyewe sio yaleo ni ile Kenya iliyoweka lockdown county 5, lakini yasasa haina huo mfumo unaopendekezwa na tume.
Wote tunajua nchi hii kila pembe hakuna taarifa za hilo janga hata toka kwenye mitandao ya kijamii hatuoni wala kusikia. Sehemu nyingi nchini toka 29 June 2020 serikali iliporuhusu shule kufunguliwa raia tuliachana na tahadhari za Corona. Masuala ya sanitizers, barakoa, maji tiririka na kutokukusanyika yalipotea.
Watu wanakula bata, misibani tunashiriki, viwanjani tunajaa, maeneo yote yamikusanyiko yanajaa mpaka basi lakini vifo wala wagonjwa wa Corona hakuna.
Mama yetu hajawahi kuchukua tahadhari ya Corona wakati wote alikua free ameanza kuvaa barakoa wiki mbili kabla ya ripot ya tume.
Leo Dunia inaanza kutengemaa, ulaya viwanjani wameanza kuruhusu mashabiki, vifo vinapungua. Makundi yaliyopendekezwa na tume kuchanjwa yanatakiwa kuangaliwa upya.
Niombe wananchi tuchukue tahadhari lakini hii tume ituambie walikokusanyia data.
Duh....!Nawasalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Huna jipya zaidi ya kubeza juhudi za amkusudi kukabiliana na Covid.
Ninyi ndo mnataka watu wafe bila sayanzi kutumika .
Mbona mkupata malaria mnakimbilia kupima
Mbona mipata UKIMWI mnakimbilia kupimwa
Mbona mkihara mnakimbilia kupima
Na ninyi mliozoea kwenda kwa waganga wa kienyeji, hamjui kuwa KUPIMA kunaendana na STATISTICS ambazo nazo zinatumika ku analyse Afya ya Jamii.
Sasa nyie mmkekazana na Dorithy wenu kujifukiza, mnaua watu kwa kukosa hekima ya maarifa.
Mbona statistics za magonjwa mengine hutangaziwi kila siku kama ilivyo corona?Huna jipya zaidi ya kubeza juhudi za amkusudi kukabiliana na Covid.
Ninyi ndo mnataka watu wafe bila sayanzi kutumika .
Mbona mkupata malaria mnakimbilia kupima
Mbona mipata UKIMWI mnakimbilia kupimwa
Mbona mkihara mnakimbilia kupima
Na ninyi mliozoea kwenda kwa waganga wa kienyeji, hamjui kuwa KUPIMA kunaendana na STATISTICS ambazo nazo zinatumika ku analyse Afya ya Jamii.
Sasa nyie mmkekazana na Dorithy wenu kujifukiza, mnaua watu kwa kukosa hekima ya maarifa.
Ni vyema ungeleta documents zenye evidence kua tume imecopy na kupaste ili nasi tujirishe kwalo. Pia tuendelee kujifukiza au nasema uongo ndugu yang!!Nawasalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugu zangu mheshimiwa Rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliunda tume ya Corona.
Taarifa ya tume imepokelewa Jana na wengi wanaendelea kutupa mrejesho ya kile kilichopo kwenye tume.
Naomba niseme taarifa ile sio yakwetu. Taarifa hii ni ya nchi iliyokumbwa na Corona na yenye hari tata sana. Taarifa hii nahisi ilikua ya Kenya sisi tumecopy na sehemu iliyoandikwa Kenya Tumeandika Tanzania. Tena Kenya yenyewe sio yaleo ni ile Kenya iliyoweka lockdown county 5, lakini yasasa haina huo mfumo unaopendekezwa na tume.
Wote tunajua nchi hii kila pembe hakuna taarifa za hilo janga hata toka kwenye mitandao ya kijamii hatuoni wala kusikia. Sehemu nyingi nchini toka 29 June 2020 serikali iliporuhusu shule kufunguliwa raia tuliachana na tahadhari za Corona. Masuala ya sanitizers, barakoa, maji tiririka na kutokukusanyika yalipotea.
Watu wanakula bata, misibani tunashiriki, viwanjani tunajaa, maeneo yote yamikusanyiko yanajaa mpaka basi lakini vifo wala wagonjwa wa Corona hakuna.
Mama yetu hajawahi kuchukua tahadhari ya Corona wakati wote alikua free ameanza kuvaa barakoa wiki mbili kabla ya ripot ya tume.
Leo Dunia inaanza kutengemaa, ulaya viwanjani wameanza kuruhusu mashabiki, vifo vinapungua. Makundi yaliyopendekezwa na tume kuchanjwa yanatakiwa kuangaliwa upya.
Niombe wananchi tuchukue tahadhari lakini hii tume ituambie walikokusanyia data.
Anataka tuendelee kujifukiza mkuu 🤣Kwa hiyo unataka Nini
Tatizo lenu ninyi hamjaelewa,mama anataka MIKOPO ile miradi aliyoiacha bulldozer aisee si mchezo,kama ukilegea kukusanya kodi itakutokea puani,na ile hali aliyoionesha mama kwa kuwabembeleza wawekezaji,ni lazima awafurahishe mabwana wa dunia ili apewe mikopo,ukiangalia Kenyatta aliyemtembelea juzi hapa kakopa mikopo minono isiyopungua kumi katika kipindi cha mwaka na miezi kadhaa tangu korona iingie rasmi Africa,ukiwa mfuatiliaji wa majambo utangundua mama kaanza kuvaa mabarakoa punde tu alivyotoka Kenya...hivyo huenda Kenyatta kampa shule kuhusiana na mikopo ya mabwana wa dunia
Mawazo yangu tu
Shida ni yale masharti yaani wanajeshi wetu wachanjwe kwanza? na wataalamu wetu hawa hawana hata muda wa kufikiri kwamba hiyohiyo chanjo inaweza tumika kuangamiza.Hivyi chanjo ya Urusi inaweza pelekwa wakachomwe wanajeshi wa Marekani?Tatizo lenu ninyi hamjaelewa,mama anataka MIKOPO ile miradi aliyoiacha bulldozer aisee si mchezo,kama ukilegea kukusanya kodi itakutokea puani,na ile hali aliyoionesha mama kwa kuwabembeleza wawekezaji,ni lazima awafurahishe mabwana wa dunia ili apewe mikopo,ukiangalia Kenyatta aliyemtembelea juzi hapa kakopa mikopo minono isiyopungua kumi katika kipindi cha mwaka na miezi kadhaa tangu korona iingie rasmi Africa,ukiwa mfuatiliaji wa majambo utangundua mama kaanza kuvaa mabarakoa punde tu alivyotoka Kenya...hivyo huenda Kenyatta kampa shule kuhusiana na mikopo ya mabwana wa dunia
Mawazo yangu tu
Niliandika hapa kuwa watatokea wapumbavu kama huyu.eti mpaka ulaya watu wanaingia mipirani.mpuuzi huyu hajui kuwa nchi nyingi duniani zimesha chanja wananchi na wageni wanaoishi huko chanjo ya corona.kilichowakuta wahindi kinakaribia kulipuka dar halafu wewe utajua uliandika nini na utajuta.Nawasalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugu zangu mheshimiwa Rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliunda tume ya Corona.
Taarifa ya tume imepokelewa Jana na wengi wanaendelea kutupa mrejesho ya kile kilichopo kwenye tume.
Naomba niseme taarifa ile sio yakwetu. Taarifa hii ni ya nchi iliyokumbwa na Corona na yenye hari tata sana. Taarifa hii nahisi ilikua ya Kenya sisi tumecopy na sehemu iliyoandikwa Kenya Tumeandika Tanzania. Tena Kenya yenyewe sio yaleo ni ile Kenya iliyoweka lockdown county 5, lakini yasasa haina huo mfumo unaopendekezwa na tume.
Wote tunajua nchi hii kila pembe hakuna taarifa za hilo janga hata toka kwenye mitandao ya kijamii hatuoni wala kusikia. Sehemu nyingi nchini toka 29 June 2020 serikali iliporuhusu shule kufunguliwa raia tuliachana na tahadhari za Corona. Masuala ya sanitizers, barakoa, maji tiririka na kutokukusanyika yalipotea.
Watu wanakula bata, misibani tunashiriki, viwanjani tunajaa, maeneo yote yamikusanyiko yanajaa mpaka basi lakini vifo wala wagonjwa wa Corona hakuna.
Mama yetu hajawahi kuchukua tahadhari ya Corona wakati wote alikua free ameanza kuvaa barakoa wiki mbili kabla ya ripot ya tume.
Leo Dunia inaanza kutengemaa, ulaya viwanjani wameanza kuruhusu mashabiki, vifo vinapungua. Makundi yaliyopendekezwa na tume kuchanjwa yanatakiwa kuangaliwa upya.
Niombe wananchi tuchukue tahadhari lakini hii tume ituambie walikokusanyia data.
Lakini jamani si mnakuwa mnawaita watu wa ulaya mabeberu na hamuwasikilizi na wala hamtaki kuwafuata? Mbona sasa mifano yenu yote mnasema ulaya, ulaya, ulaya! Na mbona hamsemi India ua hata china ambao ndio marafiki zenu wakuu?Nimechoka niliposikia et lockdown, Ulaya watu sasa wanakumbatiana, wanahudhuri harusi na viwanjani wameanza kujazana leo sisi tunasema No! kweli?
Statistics za Corona hapa nchini zinatunzwa wapi?Mbona statistics za magonjwa mengine hutangaziwi kila siku kama ilivyo corona?
Mtu kama anataka statistics kwa ajili sijui ku analyse mambo ya jamii si aende zinakotunzwa,mimi mwananchi sihitaji kujua eti corona imeua wangapi itanisaidia nini?
watutangazie basi na vyifo yote vinavyotekea hosptali kila siku.
hoja ni kutimiza masharti ya watoa pesa za corona.
Watu mliozoea kuliwa kiboga mna taka kuliwa na corona vile vile!!!Vp mbona unashupalia njia tulizotumia n mbaya kuna mumeo alienda na corona?
Hii hata mlevi hawezi kukubali yaani wanajeshi nao wachanjwe?!!!!!...Shida ni yale masharti yaani wanajeshi wetu wachanjwe kwanza? na wataalamu wetu hawa hawana hata muda wa kufikiri kwamba hiyohiyo chanjo inaweza tumika kuangamiza.Hivyi chanjo ya Urusi inaweza pelekwa wakachomwe wanajeshi wa Marekani?
ila kwa vile tunapendwa sana acha tuone muda utatupa majibu.
Corona inapenda warembo kama wew na wameo mabeberuWatu mliozoea kuliwa kiboga mna taka kuliwa na corona vile vile!!!
Mkuu wewe kubali kufa kwa ujinga wako mwenyewe.Nawasalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.