Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Uko sahihi, na jana ilibidi tushirikiane na BASATA kikao cha wadau kuchambua shida hasa nn eneo hili. Tutafika tu tuendako.Inashangaza sana mkuu mnajua kuna nyimbo hazina maadili alafu mwaziacha tu,pigeni ban hizo nyimbo zisizo na maadaili ndo mengineyo yafuate
Ni muhimu sana kuainisha tafsiri iende hadi specifications kwenye kuucheza mziki, mavazi, content, context, participants, na hata katika ngazi za watoa vibali before issuing permits it should be very clear. Very complex though in terms of monitoring. Traditionally, implementation has had short lived experience, rejea usafi Kila Jumamosi ya wiki na Kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi Iko wapi. Nakedness is now the order of the day all over. Taboo words, yaani majangaTutaeleza, kufafanuliana, kujadiliana mwanzo mwisho hadi tufahamu nani wapi haelewi kwa Sababu zipi. Sheria zipo wazi kabisa kuanzia sheria ya mtoto na sheria za BASATA na vyombo vingine, sijui wazazi na Walezi nao shida nn hawafuati hadi tukimbizane. Mjadala wa wazi wa jamii utatupa njia ya ziada Kamati ya sekta zote Iko kazini kuja na mpango wa haraka 21 days.
Ahsante Sana. Kuna mwongozo umeandaliwa na BASATA utazinduliwa hivi karibuni, ngoja tushirikiane nao kuutangaza Sana kisha kama kuna vitu vinapungua, maoni haya ya jamii yatakuwa muhimu sana kwenye kuja na revised versionNi muhimu sana kuainisha tafsiri iende hadi specifications kwenye kuucheza mziki, mavazi, content, context, participants, na hata katika ngazi za watoa vibali before issuing permits it should be very clear. Very complex though in terms of monitoring. Traditionally, implementation has had short lived experience, rejea usafi Kila Jumamosi ya wiki na Kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi Iko wapi. Nakedness is now the order of the day all over. Taboo words, yaani majanga
Hongera saana Mh Gwajima.Ahsante Sana. Kuna mwongozo umeandaliwa na BASATA utazinduliwa hivi karibuni, ngoja tushirikiane nao kuutangaza Sana kisha kama kuna vitu vinapungua, maoni haya ya jamii yatakuwa muhimu sana kwenye kuja na revised version
Mkuu umezinduka tokea wapi?Amesubiri mpaka Rais jana akumbushe wajibu wa Wizara hii ndiyo atoe tamko? Anyways, ndiyo baadhi ya viongozi wetu walivyo. Imenikumbisha enzi za kujifukizia.
Mhe. kupitia jukwaa hili kumekuwa na threads kadhaa za malamiko ya migogoro ya wanandoa na baadhi yao wakilalamikia ustawi wa jamii, mahakimu, na dawati la jinsia, je, huoni kwamba ni jambo jema walau kutoa dondoo mahususi zikianisha aina za migogoro na taratibu sahihi za njia za usuluhishi, mfano ndoa zibafungwa msikitini, kanisani, bomani au kimila lakini katika migogoro kuna ngazi zinarukwa na hazishirikishwi kwenye ngazi za ustawi, Mahakama ili hali ndoa ni ya wanajamii. Nashauri recurring cases na aina zake ziwekewe Uzi kama rejea to serve as an archive for references, at least for empowerment hasa inapotokea baadhi ya waliopewa dhamana wakaenda sivyo.Ahsante Sana. Kuna mwongozo umeandaliwa na BASATA utazinduliwa hivi karibuni, ngoja tushirikiane nao kuutangaza Sana kisha kama kuna vitu vinapungua, maoni haya ya jamii yatakuwa muhimu sana kwenye kuja na revised version
Salaam. Ahsante Sana, huenda zingine tunaona na zingine zinatupita. Labda kwanza nipe link nione hoja za awali zilikuwa zipi na kama kuna ambazo hatukuziona, halafu kukiwa na maboresho itakuwa vema. Sisi tunapokea Kila maoni ya kujenga Ili tuboreshe yote yanayowezakana nakustahili kwa nyakati za sasa. Ubarikiwe.Mhe. kupitia jukwaa hili kumekuwa na threads kadhaa za malamiko ya migogoro ya wanandoa na baadhi yao wakilalamikia ustawi wa jamii, mahakimu, na dawati la jinsia, je, huoni kwamba ni jambo jema walau kutoa dondoo mahususi zikianisha aina za migogoro na taratibu sahihi za njia za usuluhishi, mfano ndoa zibafungwa msikitini, kanisani, bomani au kimila lakini katika migogoro kuna ngazi zinarukwa na hazishirikishwi kwenye ngazi za ustawi, Mahakama ili hali ndoa ni ya wanajamii. Nashauri recurring cases na aina zake ziwekewe Uzi kama rejea to serve as an archive for references, at least for empowerment hasa inapotokea baadhi ya waliopewa dhamana wakaenda sivyo.
🙏🙏🙏Salaam. Ahsante Sana, huenda zingine tunaona na zingine zinatupita. Labda kwanza nipe link nione hoja za awali zilikuwa zipi na kama kuna ambazo hatukuziona, halafu kukiwa na maboresho itakuwa vema. Sisi tunapokea Kila maoni ya kujenga Ili tuboreshe yote yanayowezakana nakustahili kwa nyakati za sasa. Ubarikiwe.
Pia tuna kurasa za wizara online, tuna call center na mimi mwenyewe siko nyuma inapobidi rufaa kwangu kwa sms kwenye 0765345777 copy 0734124191. Njooni wote tusemezane kwa maoni na mawazo ya kujenga Ili kazi iendelee kwa pamoja. Mbarikiwe 🤝🙏🇹🇿
Ahsante Sana kwa maoni, safari ya pamoja na umoja ni dawa. Jambo la umoja tunaliimarisha zaidi na zaidi. 🤝🙏🇹🇿Bila mipango miji bora
Bila kuvunja makazi holela
Bila elimu bora
Bila kuupinga umasikini
Bila ya kuwa na hofu ya Mungu
Bila hayo hatuwezi fika popote pale, tumeruhusu wasanii wawe kioo cha jamii, msanii anavaa uchi, anaimba mapenzi, anasifia mapenzi ya kinyume na maumbile,anasifia pombe na bangi, anasifia kuiba hatuwezi fika popote pale.
Tuamue kama taifa, tuanze na wasanii kwanza
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hizo nyimbo watoto huziimba wakiwa mashuleni na kwenye maschool busInashangaza sana mkuu mnajua kuna nyimbo hazina maadili alafu mwaziacha tu,pigeni ban hizo nyimbo zisizo na maadaili ndo mengineyo yafuate
Alafu wanajiita kio cha jamiiBila mipango miji bora
Bila kuvunja makazi holela
Bila elimu bora
Bila kuupinga umasikini
Bila ya kuwa na hofu ya Mungu
Bila hayo hatuwezi fika popote pale, tumeruhusu wasanii wawe kioo cha jamii, msanii anavaa uchi, anaimba mapenzi, anasifia mapenzi ya kinyume na maumbile,anasifia pombe na bangi, anasifia kuiba hatuwezi fika popote pale.
Tuamue kama taifa, tuanze na wasanii kwanza
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ahsante Sana. Kuna mwongozo umeandaliwa na BASATA utazinduliwa hivi karibuni, ngoja tushirikiane nao kuutangaza Sana kisha kama kuna vitu vinapungua, maoni haya ya jamii yatakuwa muhimu sana kwenye kuja na revised version
Bila mipango miji bora
Bila kuvunja makazi holela
Bila elimu bora
Bila kuupinga umasikini
Bila ya kuwa na hofu ya Mungu
Bila hayo hatuwezi fika popote pale, tumeruhusu wasanii wawe kioo cha jamii, msanii anavaa uchi, anaimba mapenzi, anasifia mapenzi ya kinyume na maumbile,anasifia pombe na bangi, anasifia kuiba hatuwezi fika popote pale.
Tuamue kama taifa, tuanze na wasanii kwanza
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hojaBASATA ivuliwe mamlaka ya kudhibiti na kuwaongoza wasanii, wabaki kuwa wasajili na wasimamizi wa wasanii na kazi zao za Sanaa.
Wamethibitisha zaidi ya miaka 10 kwamba hawana meno ya kung’ata inapostahiki na pia wamechangia kwa kiasi kikubwa mmomonyoko wa maadili kwa kuendelea kufumbia macho maudhui ya kingono yaliyopo katika miziki karibu yote ya wasanii wa Tanzania.
Mambo ya maudhui katika nyimbo na Sanaa za wasanii yawe regulated na Wizara yako kwa maana ndio inasimamia Ustawi imara wa jamii na maadili yake.
BASATA is incompetent and Politically compromised.
Hawatoshi na Hawafai.
Serikali pia iangalie uwezekano wa Wizara ya Utamaduni kujitegemea ili kulinda Mila, Tamaduni na Desturi zetu watanzania kwa mujibu wa makabila yetu. Hii itasaidia kuokoa maadili yetu Kama taifa.
Wizara ya Sanaa na Michezo pia inastahili kujitegemea.
Ni ushirikiano wa hizi wizara ;
1) Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi maalum.
2) Wizara ya Tamaduni, Mila na Desturi
3) Wizara ya Sanaa na Michezo
Ndio utasaidia kuongoza, kusimamia, kuimalisha na kulinda maadili ya Tanzania na watanzania.
Utandawazi na kukua kwa technology kunaweza kupoteza asili ya taifa lolote lisilo makini na ulinzi wa asili yake na watu wake.
Tamaduni zetu, Mila zetu, Desturi zetu ndizo alama na vitambulisho vyetu kwenye ardhi ya dunia hii na maadili ya jamii na taifa letu yanalindwa na vitu hivi.
Alafu wanajiita kio cha jamii
Yaani msanii amefanywa mtu
Wa maana kuliko hata daktari, mwalimu,mhandisi nk
Nyimbo nyingi wanazoimba sahv ujumbe ni takataka kabisa
Kuhusu mipango miji,maeneo ya wazi sehemu ambazo watoto wangeweza kucheza na kupumzika yamegeuzwa magarage,watu wamefungua bar nk
Watoto hawana sehemu za kufanya michezo sana sana wanaishia kucheza mitaani na vichororoni huko
Ova
Inuka na simama uangaze, kwa kuwa Mungu ameweka kitu ndani yako kwa ajili ya kuokoa wengine.Vipi, yeye mwenyewe ana maadili?
Kabisa. Anajitahidi sana.Hongera saana Mh Gwajima.
Mungu akuongoze katika kusimamia wizara hii
Asante sana MheshimiwaInuka na simama uangaze, kwa kuwa Mungu ameweka kitu ndani yako kwa ajili ya kuokoa wengine.