Taarifa ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum kwa Jamii Kuzingatia Sheria ya Mtoto kudhibiti Mmomonyoko wa Maadili

Inashangaza sana mkuu mnajua kuna nyimbo hazina maadili alafu mwaziacha tu,pigeni ban hizo nyimbo zisizo na maadaili ndo mengineyo yafuate
Uko sahihi, na jana ilibidi tushirikiane na BASATA kikao cha wadau kuchambua shida hasa nn eneo hili. Tutafika tu tuendako.
IMG_20230912_170011_228.jpg
 
Tutaeleza, kufafanuliana, kujadiliana mwanzo mwisho hadi tufahamu nani wapi haelewi kwa Sababu zipi. Sheria zipo wazi kabisa kuanzia sheria ya mtoto na sheria za BASATA na vyombo vingine, sijui wazazi na Walezi nao shida nn hawafuati hadi tukimbizane. Mjadala wa wazi wa jamii utatupa njia ya ziada Kamati ya sekta zote Iko kazini kuja na mpango wa haraka 21 days.
Ni muhimu sana kuainisha tafsiri iende hadi specifications kwenye kuucheza mziki, mavazi, content, context, participants, na hata katika ngazi za watoa vibali before issuing permits it should be very clear. Very complex though in terms of monitoring. Traditionally, implementation has had short lived experience, rejea usafi Kila Jumamosi ya wiki na Kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi Iko wapi. Nakedness is now the order of the day all over. Taboo words, yaani majanga
 
Ahsante Sana. Kuna mwongozo umeandaliwa na BASATA utazinduliwa hivi karibuni, ngoja tushirikiane nao kuutangaza Sana kisha kama kuna vitu vinapungua, maoni haya ya jamii yatakuwa muhimu sana kwenye kuja na revised version
 
Hongera saana Mh Gwajima.

Mungu akuongoze katika kusimamia wizara hii
 
Amesubiri mpaka Rais jana akumbushe wajibu wa Wizara hii ndiyo atoe tamko? Anyways, ndiyo baadhi ya viongozi wetu walivyo. Imenikumbisha enzi za kujifukizia.
Mkuu umezinduka tokea wapi?
Huyu Mama ndiye waziri pekee anayetoa updates na yupo humu kuwasikiliza watu kwa ID yake halisi.

Wengine wote wamejificha kwenye IDs fake.

Unataka afanyeje kazi?
 
Ahsante Sana. Kuna mwongozo umeandaliwa na BASATA utazinduliwa hivi karibuni, ngoja tushirikiane nao kuutangaza Sana kisha kama kuna vitu vinapungua, maoni haya ya jamii yatakuwa muhimu sana kwenye kuja na revised version
Mhe. kupitia jukwaa hili kumekuwa na threads kadhaa za malamiko ya migogoro ya wanandoa na baadhi yao wakilalamikia ustawi wa jamii, mahakimu, na dawati la jinsia, je, huoni kwamba ni jambo jema walau kutoa dondoo mahususi zikianisha aina za migogoro na taratibu sahihi za njia za usuluhishi, mfano ndoa zibafungwa msikitini, kanisani, bomani au kimila lakini katika migogoro kuna ngazi zinarukwa na hazishirikishwi kwenye ngazi za ustawi, Mahakama ili hali ndoa ni ya wanajamii. Nashauri recurring cases na aina zake ziwekewe Uzi kama rejea to serve as an archive for references, at least for empowerment hasa inapotokea baadhi ya waliopewa dhamana wakaenda sivyo.
 
Salaam. Ahsante Sana, huenda zingine tunaona na zingine zinatupita. Labda kwanza nipe link nione hoja za awali zilikuwa zipi na kama kuna ambazo hatukuziona, halafu kukiwa na maboresho itakuwa vema. Sisi tunapokea Kila maoni ya kujenga Ili tuboreshe yote yanayowezakana nakustahili kwa nyakati za sasa. Ubarikiwe.

Pia tuna kurasa za wizara online, tuna call center na mimi mwenyewe siko nyuma inapobidi rufaa kwangu kwa sms kwenye 0765345777 copy 0734124191. Njooni wote tusemezane kwa maoni na mawazo ya kujenga Ili kazi iendelee kwa pamoja. Mbarikiwe 🤝🙏🇹🇿
 
🙏🙏🙏
 
Bila mipango miji bora
Bila kuvunja makazi holela
Bila elimu bora
Bila kuupinga umasikini
Bila ya kuwa na hofu ya Mungu

Bila hayo hatuwezi fika popote pale, tumeruhusu wasanii wawe kioo cha jamii, msanii anavaa uchi, anaimba mapenzi, anasifia mapenzi ya kinyume na maumbile,anasifia pombe na bangi, anasifia kuiba hatuwezi fika popote pale.
Tuamue kama taifa, tuanze na wasanii kwanza

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ahsante Sana kwa maoni, safari ya pamoja na umoja ni dawa. Jambo la umoja tunaliimarisha zaidi na zaidi. 🤝🙏🇹🇿

Hili la hofu ya Mungu nalo muhimu sana.
IMG_20230912_170011_228.jpg
 
Inashangaza sana mkuu mnajua kuna nyimbo hazina maadili alafu mwaziacha tu,pigeni ban hizo nyimbo zisizo na maadaili ndo mengineyo yafuate
Hizo nyimbo watoto huziimba wakiwa mashuleni na kwenye maschool bus

Mitoto ya siku hizi huwezi wasikia wakiimba 'mfano bata wadodo wadogo wanaogelea nk ukiwambia waimbe hivyo hata hawana mzuku

We waweke singeli amapiano sijuininama nkumwagie ndani nkupake mafuta zungusha kiuno

Lazimaa waukesha tena wanauimba mwimbo wote

Ova
 
Bila mipango miji bora
Bila kuvunja makazi holela
Bila elimu bora
Bila kuupinga umasikini
Bila ya kuwa na hofu ya Mungu

Bila hayo hatuwezi fika popote pale, tumeruhusu wasanii wawe kioo cha jamii, msanii anavaa uchi, anaimba mapenzi, anasifia mapenzi ya kinyume na maumbile,anasifia pombe na bangi, anasifia kuiba hatuwezi fika popote pale.
Tuamue kama taifa, tuanze na wasanii kwanza

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Alafu wanajiita kio cha jamii
Yaani msanii amefanywa mtu
Wa maana kuliko hata daktari, mwalimu,mhandisi nk
Nyimbo nyingi wanazoimba sahv ujumbe ni takataka kabisa

Kuhusu mipango miji,maeneo ya wazi sehemu ambazo watoto wangeweza kucheza na kupumzika yamegeuzwa magarage,watu wamefungua bar nk

Watoto hawana sehemu za kufanya michezo sana sana wanaishia kucheza mitaani na vichororoni huko

Ova
 
Ahsante Sana. Kuna mwongozo umeandaliwa na BASATA utazinduliwa hivi karibuni, ngoja tushirikiane nao kuutangaza Sana kisha kama kuna vitu vinapungua, maoni haya ya jamii yatakuwa muhimu sana kwenye kuja na revised version

BASATA ivuliwe mamlaka ya kudhibiti na kuwaongoza wasanii, wabaki kuwa wasajili na wasimamizi wa wasanii na kazi zao za Sanaa.

Wamethibitisha zaidi ya miaka 10 kwamba hawana meno ya kung’ata inapostahiki na pia wamechangia kwa kiasi kikubwa mmomonyoko wa maadili kwa kuendelea kufumbia macho maudhui ya kingono yaliyopo katika miziki karibu yote ya wasanii wa Tanzania.

Mambo ya maudhui katika nyimbo na Sanaa za wasanii yawe regulated na Wizara yako kwa maana ndio inasimamia Ustawi imara wa jamii na maadili yake.

BASATA is incompetent and Politically compromised.

Hawatoshi na Hawafai.

Serikali pia iangalie uwezekano wa Wizara ya Utamaduni kujitegemea ili kulinda Mila, Tamaduni na Desturi zetu watanzania kwa mujibu wa makabila yetu. Hii itasaidia kuokoa maadili yetu Kama taifa.

Wizara ya Sanaa na Michezo pia inastahili kujitegemea.

Ni ushirikiano wa hizi wizara ;

1) Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi maalum.

2) Wizara ya Tamaduni, Mila na Desturi

3) Wizara ya Sanaa na Michezo

Ndio utasaidia kuongoza, kusimamia, kuimalisha na kulinda maadili ya Tanzania na watanzania.

Utandawazi na kukua kwa technology kunaweza kupoteza asili ya taifa lolote lisilo makini na ulinzi wa asili yake na watu wake.

Tamaduni zetu, Mila zetu, Desturi zetu ndizo alama na vitambulisho vyetu kwenye ardhi ya dunia hii na maadili ya jamii na taifa letu yanalindwa na vitu hivi.
 
Bila mipango miji bora
Bila kuvunja makazi holela
Bila elimu bora
Bila kuupinga umasikini
Bila ya kuwa na hofu ya Mungu

Bila hayo hatuwezi fika popote pale, tumeruhusu wasanii wawe kioo cha jamii, msanii anavaa uchi, anaimba mapenzi, anasifia mapenzi ya kinyume na maumbile,anasifia pombe na bangi, anasifia kuiba hatuwezi fika popote pale.
Tuamue kama taifa, tuanze na wasanii kwanza

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Sahihi sana.
 
BASATA ivuliwe mamlaka ya kudhibiti na kuwaongoza wasanii, wabaki kuwa wasajili na wasimamizi wa wasanii na kazi zao za Sanaa.

Wamethibitisha zaidi ya miaka 10 kwamba hawana meno ya kung’ata inapostahiki na pia wamechangia kwa kiasi kikubwa mmomonyoko wa maadili kwa kuendelea kufumbia macho maudhui ya kingono yaliyopo katika miziki karibu yote ya wasanii wa Tanzania.

Mambo ya maudhui katika nyimbo na Sanaa za wasanii yawe regulated na Wizara yako kwa maana ndio inasimamia Ustawi imara wa jamii na maadili yake.

BASATA is incompetent and Politically compromised.

Hawatoshi na Hawafai.

Serikali pia iangalie uwezekano wa Wizara ya Utamaduni kujitegemea ili kulinda Mila, Tamaduni na Desturi zetu watanzania kwa mujibu wa makabila yetu. Hii itasaidia kuokoa maadili yetu Kama taifa.

Wizara ya Sanaa na Michezo pia inastahili kujitegemea.

Ni ushirikiano wa hizi wizara ;

1) Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi maalum.

2) Wizara ya Tamaduni, Mila na Desturi

3) Wizara ya Sanaa na Michezo

Ndio utasaidia kuongoza, kusimamia, kuimalisha na kulinda maadili ya Tanzania na watanzania.

Utandawazi na kukua kwa technology kunaweza kupoteza asili ya taifa lolote lisilo makini na ulinzi wa asili yake na watu wake.

Tamaduni zetu, Mila zetu, Desturi zetu ndizo alama na vitambulisho vyetu kwenye ardhi ya dunia hii na maadili ya jamii na taifa letu yanalindwa na vitu hivi.
Naunga mkono hoja

Ova
 
Alafu wanajiita kio cha jamii
Yaani msanii amefanywa mtu
Wa maana kuliko hata daktari, mwalimu,mhandisi nk
Nyimbo nyingi wanazoimba sahv ujumbe ni takataka kabisa

Kuhusu mipango miji,maeneo ya wazi sehemu ambazo watoto wangeweza kucheza na kupumzika yamegeuzwa magarage,watu wamefungua bar nk

Watoto hawana sehemu za kufanya michezo sana sana wanaishia kucheza mitaani na vichororoni huko

Ova

Ni kweli.

Bila kurekebisha huko kwa wasanii, juhudi zote za Wizara ya jamii zitakua Sawa na kazi bure.

Taifa letu halimpi thamani anayostahili mtoto. Haki za watoto zimebaki kuwa mitaji ya wanaharakati na viongozi wa kisiasa katika kusaka tonge lakini kiuhalisia mtoto wa Tanzania analindwa na aliyemuumba tu.

Kuanzia majumbani, mtaani mpaka mashuleni, mtoto amegeuzwa mfuko wa maslahi binafsi na kote anapitia unyanyasaji wa kimwili na kiakili huku mamlaka za kutoa ulinzi kwake zikiwa ndizo hizo hizo zinazosimamia na kutetea watesi wake.
 
Back
Top Bottom