Taarifa za Ikulu kwa lugha ya Kiingereza za nini wakati sisi ni Waswahili asilia?

Ila wabongo kila kitu tunalalamika juzi tu hapa alisemwa mtu hajui kingereza sijui ndio mana katolewa kawekwa anaejua bado malalamishi smh
 
Mkuu Tanzania ni nchi katika nchi za dunia. Kiingereza ni International language, one of them. Pia huwa zinakuwepo mbili ya Kikwetu na ya Dunia. Hivyo fuatilia kwa umaskini mkuu.
 
Mtoto wa Form 1 Tanzania anasoma 3/4 ya masomo yote kwa lugha gani ?
 
Kwa hili nakuunga mkono 100% .
 
Mzee, alishatangaza BBC FOCUS ON AFRICA
 
Rwandees tena wakati hii ni Tanzania?
 
Lakini amekuwa bilingual, yaani anaandika Kisw na Eng. Kwa hiyo kwangu mimi sioni tatizo.
 
unafahamu serikali yetu ya TZ inatumia lugha ngapi
 
Inaitwa ulimbukeni.
 
Kwanini usisome ile ya kiswahili?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…