Lissu akituamrisha tuingie Msituni tunaingia.Kwa hiyo lisu ndiyo atuzuia watu wasiuwawe?
Wathubutu waonekwa mujibu wa kanuni, sheria na katiba ya chadema, kibaraka wa mabenyenye ya Magharibi ataenguliwa hatua za mwanzo kabisaa uchaguzi wa chadema taifa 🐒
Mbowe amekataliwa kila kona.Mbowe anakataliwa na WanaCHADEMA Tanzania nzima.
View: https://youtu.be/FYiaufRgxvw?si=vWhhCoQw-d5dYKlFMbowe must GO!
Kama Mbowe amechoka hofu ya nini kwamba Mropokaji Lissu atakatwa?Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.
John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
JF keyboard warrior mwingine huyu hapa! Ahahahahaha!!!Wathubutu waone
Alphonce Mawazo,Ben Saanane,Mzee Bao,Lisu na Risasi mwilini,Akwilina n.k na wengine wako ukimbizini ni Wahanga wa hiyo Saccos ya huyo Mangi😭😭😭Mnamuogopa sana Mbowe.
Mtasema mengi mwaka huu. Mbowe sio mjinga kiasi hicho. Hata Mnyika hawezi kukubali.Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.
John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Hawezi hata kidogoTaarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.
John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Maua yako💐💐💐💐Mbowe amekataliwa kila kona.
Akileta rushwa zake toka ccm wajumbe kuleni ni kodi zetu lakini agenda yetu ni ile ile " Kukirudisha chama kwa wanachama"
Madalali wote tupa kule, huu ni wakati wa mabadiliko chanya
Mbowe must goTaarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.
John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Hadi wewe🤣Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.
John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Mbowe hana jipya zaidi kupiga deal kwa sasa .....ameuzwa na chama kiko rehani......Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.
John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Onyesha nukuu husikakwa mujibu wa kanuni, sheria na katiba ya chadema, kibaraka wa mabenyenye ya Magharibi ataenguliwa hatua za mwanzo kabisaa uchaguzi wa chadema taifa 🐒
Mnyika hawezi kufanya huo ujinga kabisa.Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.
John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Gentleman,Onyesha nukuu husika