Pre GE2025 Taarifa za ndani zinadai Mbowe anashinikiza Lissu akatwe kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.

John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Kama Mbowe amechoka hofu ya nini kwamba Mropokaji Lissu atakatwa?
 
Mnamuogopa sana Mbowe.
Alphonce Mawazo,Ben Saanane,Mzee Bao,Lisu na Risasi mwilini,Akwilina n.k na wengine wako ukimbizini ni Wahanga wa hiyo Saccos ya huyo Mangi😭😭😭
 
Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.

John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Mtasema mengi mwaka huu. Mbowe sio mjinga kiasi hicho. Hata Mnyika hawezi kukubali.

Amandla...
 
Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.

John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Hawezi hata kidogo
 
Mbowe amekataliwa kila kona.
Akileta rushwa zake toka ccm wajumbe kuleni ni kodi zetu lakini agenda yetu ni ile ile " Kukirudisha chama kwa wanachama"
Madalali wote tupa kule, huu ni wakati wa mabadiliko chanya
Maua yako💐💐💐💐
 
Mbowe
Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.

John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Mbowe must go
 
Hadi wewe🤣
 
Wanamuunga Mkono Mbowe wanamkataa Lissu huku wakimtukana na kumdharirisha, na kudai hakuwahi kuwa na msaada wowote ule kwa Chama.

Wanao muunga mkono Lissu wanamkataa Mbowe kwa heshima, wakitambua mchango wake, na wanatamani awapishe wenzake aliowajenga na wangependa kumuona akibaki kuwa mshauri wa Chama.
 
Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.

John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Mbowe hana jipya zaidi kupiga deal kwa sasa .....ameuzwa na chama kiko rehani......
 
Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.

John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Mnyika hawezi kufanya huo ujinga kabisa.
 
Back
Top Bottom