beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,881
- 6,377
Matukio ya Rushwa yanaripotiwa kwa wingi Mkoani humo, na takwimu za Januari - Machi 2022 zinaonesha kati ya Taarifa 114 zilizopokelewa na Mamlaka, 91 zilihusu Rushwa
Katika Taarifa hizo, Uchunguzi wa Majalada 63 unaendelea na mengine 28 Uchunguzi wake umekamilika. Taarifa nyingine 23 zilizokusanywa ndani ya miezi hiyo zilihusisha makosa mengine
Unazungumziaje Hali ya Rushwa Mkoani Arusha?