Taarifa za Rushwa zakithiri Arusha, nini kinapelekea vitendo hivyo kushika kasi Mkoani humo?

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,881
Reaction score
6,377
​

Matukio ya Rushwa yanaripotiwa kwa wingi Mkoani humo, na takwimu za Januari - Machi 2022 zinaonesha kati ya Taarifa 114 zilizopokelewa na Mamlaka, 91 zilihusu Rushwa

Katika Taarifa hizo, Uchunguzi wa Majalada 63 unaendelea na mengine 28 Uchunguzi wake umekamilika. Taarifa nyingine 23 zilizokusanywa ndani ya miezi hiyo zilihusisha makosa mengine

Unazungumziaje Hali ya Rushwa Mkoani Arusha?
​
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…