Taarifa za uongo zinavyoenea haraka mtandaoni - A case of Tundu Lissu na Bunge la Ulaya

Nyuzi za siasa ilka bado umefanikiwa kupenyeza ishu za mizagamuano.
Haya buana, mi niko Mwanza, karibu!
Nataka nikutoe nje ya mada tujikute tumefika inbox mwisho kitandani

Si unajua tena?
FB_IMG_17466143924048250.jpg
 
Watu wengi tunafurahia kujadiliwa kwa kesi ya Tundu Lissu Bunge la Ulaya, binafsi nafikiri ni hatua nzuri kwa ajili ya check and balance za mifumo yetu na uwajibikaji wa Serikali.

Ila taarifa hii kwa namna ilivyowasilishwa si kweli na imepotoshwa (nikimaanisha sehemu ya yale yaliyoripotiwa ni kweli na mengine ni uongo).

View attachment 3327092

Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 - SI KWELI, hakuna kikao cha dharura.

Bunge la Ulaya linafanya kikao cha kawaida kulingana na ratiba zake za plenary. Zaidi ya Hoja 20 na mapendekezo yanajadiliwa leo ikijumuisha Kesi ya Tundu Lissu ambayo itawasilishwa na wabunge watano wa bunge la ulaya kwa dakika takribani 20 (na si masaa nane kama ilivyoelezwa na media nyingi).

View attachment 3327101

Hii si hoja ya dharura (urgent debate) bali ni resolution yenye mapendekezo kama yalivyoonyeshwa kwa kirefu hapa

 MOTION FOR A RESOLUTION Arrest and risk of execution of Tundu Lissu, Chair of Chadema, the main opposition party in Tanzania | B10-0260/2025 | European Parliament

Na itasomwa na wabunge wachangiaji kama walivyoorodheshwa kwenye ratiba ➡️ Home | Plenary | European Parliament

Hii habari imegusa hisia za wengi na kuwafikia maelfu ya watanzania kupitia watu mashuhurI na vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo Millard Ayo, Mwananchi media, Jamii Forum na nyingine nyingi. Nadhani habari ilianzia mitandaoni na vyombo vya habari vikaichukua na kuiripoti bika kuihakiki.

View attachment 3327094

View attachment 3327095

Humu JF naona mijadala mingi na mechukua hisia sana za watu wakiamini kwamba bunge limeitisha kikao maalum cha dharura kwa ajili ya Tanzania, kitu ambacho si kweli. Ni muhimu tujifunze kufact check mambo yanayoletwa mitandaoni ikijumuisha yale yanayoandikwa na online media.

Nimetumia huu mfano kwa sababu ni habari recent ambayo ni ya moto kwa sasa, ila kuna mifano mingine mingi ambayo habari ya uongo au iliyopotoshwa inaenea na kuaminika. Karibu uongeze ya kwako ambayo unaifahamu.
Kichwa chako cha habari ni mislead. A case of tundulisu nilitegemea kuona habari nzima iwe ya Uongo.

Pia heading inaonesha taarifa za uongo zinavosambaa kumbe ni uelewa wako wa lugha. Dharura haina maana exactly ya urgent 🚨.
Kwenye Medical tunaweza kutofaitisha neno urgent na emergency

Kuingia kwenye panel list ni dharura kwa maana ya hoja ya msingi…. Kiswahili sio lugha iliyoshehen misamiati

Heading ulizoandika za JF, milard ayo na mwananchi zinashida gani? Kwenye heading kuna neno dharura? Kama kwenye heading hakuna neno dharura maana yake hiyo ni information approaching and not otherwise.

Tuliza akili na uache papara.
 
Watu wengi tunafurahia kujadiliwa kwa kesi ya Tundu Lissu Bunge la Ulaya, binafsi nafikiri ni hatua nzuri kwa ajili ya check and balance za mifumo yetu na uwajibikaji wa Serikali.

Ila taarifa hii kwa namna ilivyowasilishwa si kweli na imepotoshwa (nikimaanisha sehemu ya yale yaliyoripotiwa ni kweli na mengine ni uongo).

View attachment 3327092

Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 - SI KWELI, hakuna kikao cha dharura.

Bunge la Ulaya linafanya kikao cha kawaida kulingana na ratiba zake za plenary. Zaidi ya Hoja 20 na mapendekezo yanajadiliwa leo ikijumuisha Kesi ya Tundu Lissu ambayo itawasilishwa na wabunge watano wa bunge la ulaya kwa dakika takribani 20 (na si masaa nane kama ilivyoelezwa na media nyingi).

View attachment 3327101

Hii si hoja ya dharura (urgent debate) bali ni resolution yenye mapendekezo kama yalivyoonyeshwa kwa kirefu hapa

 MOTION FOR A RESOLUTION Arrest and risk of execution of Tundu Lissu, Chair of Chadema, the main opposition party in Tanzania | B10-0260/2025 | European Parliament

Na itasomwa na wabunge wachangiaji kama walivyoorodheshwa kwenye ratiba ➡️ Home | Plenary | European Parliament

Hii habari imegusa hisia za wengi na kuwafikia maelfu ya watanzania kupitia watu mashuhuri na vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo Millard Ayo, Mwananchi media, Jamii Forum na nyingine nyingi. Nadhani habari ilianzia mitandaoni na vyombo vya habari vikaichukua na kuiripoti bila kuhakiki ukweli wake.

View attachment 3327094

View attachment 3327095

Humu JF naona mijadala mingi na imechukua sana hisia za watu wakiamini kwamba bunge la Ulaya limeitisha kikao maalum cha dharura kwa ajili ya Tanzania, kitu ambacho si kweli. Ni muhimu tujifunze kufact check mambo yanayoletwa mitandaoni ikijumuisha yale yanayoandikwa na online media.

Sie tunajua ni dharura bunge la ulaya limejadili, kwani Lissu kakamatwa lini, huoni yeye kujadiliwa ndani ya mda mfupi hivo ni dharura.
 
Asante kwa kutujuza!
 
Kichwa chako cha habari ni mislead. A case of tundulisu nilitegemea kuona habari nzima iwe ya Uongo.

Pia heading inaonesha taarifa za uongo zinavosambaa kumbe ni uelewa wako wa lugha. Dharura haina maana exactly ya urgent 🚨.
Kwenye Medical tunaweza kutofaitisha neno urgent na emergency

Kuingia kwenye panel list ni dharura kwa maana ya hoja ya msingi…. Kiswahili sio lugha iliyoshehen misamiati

Heading ulizoandika za JF, milard ayo na mwananchi zinashida gani? Kwenye heading kuna neno dharura? Kama kwenye heading hakuna neno dharura maana yake hiyo ni information approaching and not otherwise.

Tuliza akili na uache papara.
Asante kwa counter hoja nzuri.

Ila taarifa iliyopotoshwa ni kusema "bunge kufanya kikao cha dharura" ilhali bunge halijaitisha kikao cha namna hiyo.
Na vyombo vingine vya habari kuweka muda wa mjadala kuwa masaa kadhaa, kitu ambacho pia si cha kweli.
 
Back
Top Bottom