Taarifa za uongo zinavyoenea haraka mtandaoni - A case of Tundu Lissu na Bunge la Ulaya

Kichwa chako cha habari ni mislead. A case of tundulisu nilitegemea kuona habari nzima iwe ya Uongo.

Pia heading inaonesha taarifa za uongo zinavosambaa kumbe ni uelewa wako wa lugha. Dharura haina maana exactly ya urgent 🚨.
Kwenye Medical tunaweza kutofaitisha neno urgent na emergency

Kuingia kwenye panel list ni dharura kwa maana ya hoja ya msingi…. Kiswahili sio lugha iliyoshehen misamiati

Heading ulizoandika za JF, milard ayo na mwananchi zinashida gani? Kwenye heading kuna neno dharura? Kama kwenye heading hakuna neno dharura maana yake hiyo ni information approaching and not otherwise.

Tuliza akili na uache papara.
 
Sie tunajua ni dharura bunge la ulaya limejadili, kwani Lissu kakamatwa lini, huoni yeye kujadiliwa ndani ya mda mfupi hivo ni dharura.
 
Asante kwa kutujuza!
 
Asante kwa counter hoja nzuri.

Ila taarifa iliyopotoshwa ni kusema "bunge kufanya kikao cha dharura" ilhali bunge halijaitisha kikao cha namna hiyo.
Na vyombo vingine vya habari kuweka muda wa mjadala kuwa masaa kadhaa, kitu ambacho pia si cha kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…