Taarifa za uongo zinavyoenea haraka mtandaoni - A case of Tundu Lissu na Bunge la Ulaya

Kaka hii ni language ishu.

Umetumia neno kupotosha isivyo sahihi. Kama taarifa ya lissu kujadiliwa ingekuwa uongo….. hapo ndio imepotoshwa. Taarifa ya Lisu kujadiliwa ni sahihi except kuna maneno yametumika yanaweza kuleta confusion ndio kama hilo neno dharura…. Huo sio upotoshaji bali ni mispresention

Kwa mfano familia imekaa na kukubaliana juu ya mirathi. Minutes ikaandaliwa na kila mtu akaridhia Doc ikaandalia, na moja ya mtu aliesaini ni mtoto wa miaka 16. Hii minutes ya mirathi ni Original and sahihi …. Only there is a part of mispresentation… mtoto wa 16 is not matured to endorse a document hivyo asaini mtu mkubwa

Kwa muktadha huo minutes sio fake bali zina mispresentation na sio upotoshaji kama ilivyo kwenye post yako

On the other hand, wewe ndio umepotosha
 
kwahiyo unataka kusema “bunge la ulaya kufanya kikao cha dharura” ni misrepresentation ndogo na siyo upotoshaji?

Hakuna mjadala wala kikao, kuna uwasilishwaji wa hoja ya mapendekezo sawa na ambacho wabunge wetu hapa Tanzania bungeni wanafanya wakisimama kuzungumza.

Sasa utaitaje hicho kikao cha bunge cha kawaida chenye uwasilishwaji wa hoja mbalimbali, “kikao cha dharura cha Lissu”, wakati mjadala wa leo wa bunge ni masaa 14 na Lissu anaongelewa kwa dakika zisizozidi 20.

Hiyo siyo misrepresentation ni false reporting, there is a difference.
 

Safi sana.

Endelea hivyo hivyo, Tanzania tunayoitamania haiko mbali.
💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐
 
saa nne sasahivi wamesemaje?
Hakuna maamuzi, hiki hakikua kikao, wabunge wamesimama na kuzungumza kwa dakika moja kwa kila mmoja na leo (May 8) azimio litapigiwa kura kupitishwa au lah.
 
Ukiachana na Mwalimu Nyerere Lissu ndio the second Great Man of this country.
Huyu jamaa akishika Dola ni lazima mabadiliko positive ya Kiuchumi na kisheria yatokee kwenye nchi hii.

Mali za nchi hii zilizoibwa na kutaifishwa au kukabidhiwa kwenye vyama vya siasa ni lazima zirudi serikalini.

Tawala za kisheria na mahakama huru na haki ni lazima zitamalaki nchi nzima.

Rushwa ni lazima itapungua kwa kiwango kikubwa.

Huyu Lissu kwa sasa anapingwa na wenye mamlaka, anapingwa na waliokuwa viongozi wenzake ndani ya chama chake, anapingwa na wale wote wasio waadilifu.
Ila huyu Lissu anaungwa mkono na wzalendo, anaungwa mkono na wale waliokata tamaa, anaungwa mkono na waadilifu, anaungwa mkono na viongozi wa dini, Ulaya nayo inamjadili, Africa inamjadili, ata hapa Jf kutwa tunamjadi.

The Second Great Man of Tanzania
 
alinde mali wakati yeye na watoto wake wanaishi ubelgiji? muwage mnafikiri sawasawa
 
Asante kwa taarifa,
Swali je wamelijadili?

Thanks for this information
Please let us know the aftermath


Silence surrenders public responsibilities
 
It is just a mispresentqtion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…