ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Kwakuwa tupo Kwenye Dirisha Dogo la Usajiri na Timu mbalimbali Zinauza na Kusajiri Wachezaji, Basi Huuu ni Uzi Maalumu Kwaajiri ya Taarifa zote zinazo husu Usajiri kwa Timu Zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.
Katika Kipindi cha Usajiri ndio Kipindi ambacho Wapenzi na Mashabiki wa Mpira hufuatilia sana Timu zao Pendwa Kujua Ni Nani Ameachwa katika kikosi, Nani Kauzwa, Nani Katolewa kwa Mkopo Na Nani Amesajiriwa. Basi Taarifa Zote Tutakuwa tukiziweka Hapa ili Tupate Muendelezo Wa Taarifa za Vilabu Vyetu.
Pia Kama Kuna Tetesi Yoyote Ya Usajiri Basi Tusisite Kuweka Hapa
-Yanga Imeshatangaza wachezaji ilio wasajiri na Inayoendelea kuwasajiri
-IBRAHIM AJIBU tayari Ameshatua Azam Kwa Mkataba Wa Mwaka Mmoja