Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Huyu hapa Ibra Kadabra ambaye najua baada ya kuondoka Azam Fc atahamia kwenye mziki wa singeli (shughuli aipendayo kwa sasa)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Huyu hapa Ibra Kadabra ambaye najua baada ya kuondoka Azam Fc atahamia kwenye mziki wa singeli (shughuli aipendayo kwa sasa)
View attachment 2062760
Sioni anaemzidi pale Simba. Au ndo ile umeletwa na Nani!Acha aende,jamaa Simba haimpendi
acha ujinga huyo ajib unamuonaga mwenyewe uwanjani au ?Sioni anaemzidi pale Simba. Au ndo ile umeletwa na Nani!
Simba haimpendi kivipi,Jaribu kutofautisha kati ya Mapenzi na Performance ya uwanjani .Acha aende,jamaa Simba haimpendi
Alifanya jambo lamaana sababu ata iyo Mazembe na Simba au Azam saivi hazitoutiana sana kuanzia uwanjani mpaka kwenye uchumiAlipokataa dili la kwenda mazembe na kukimbilia simba.
Nilijua kabisa Uyu dogo Hana Akili Kama yule Kaka yake mrisho ngasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ficha ujinga wako,Alifanya jambo lamaana sababu ata iyo Mazembe na Simba au Azam saivi hazitoutiana sana kuanzia uwanjani mpaka kwenye uchumi
Zama hazifanani ndugu na siku hazigandi mjomba Ficha ujinga wako angalia kwenye list mazembe ni yangap na Simba ni yangapi Africa tena list imetolewa juzi tuFicha ujinga wako,
Huuwezi ifananisha mazembe na Simba , yanga au Azam kiuchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaizungumzia list ya kiuchumi au list ya uchezaji?Zama hazifanani ndugu na siku hazigandi mjomba Ficha ujinga wako angalia kwenye list mazembe ni yangap na Simba ni yangapi Africa tena list imetolewa juzi tu
Ilipewa jina la UBORA WA VILABU BARANI AFRIKA" iwe kiuchumi au kiuwanjani Mazembe na Simba haitofautiani kwasasa Rejea Thomas Ulimwengu saivi anamaajabu gani uko mazembe ata akirudi kucheza kimataifa starz anamchango gan pale?? Kwaio kama Ajibu alikataa dili alipiga hesabu nzuri tu wala sio kumlaumu
🤣🤣🤣Yaani unakataa kwenda kwenye timu ambayo ilikuwa guarantee kucheza quarter final caf champions league....timu ambayo wanamwambia pilot wao weka dege silence hapo saa tatu tunasepa zetu kuwafuata esparance de tunis.Alipokataa dili la kwenda mazembe na kukimbilia simba.
Nilijua kabisa Uyu dogo Hana Akili Kama yule Kaka yake mrisho ngasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujibishana na huyu pimbi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani unakataa kwenda kwenye timu ambayo ilikuwa guarantee kucheza quarter final caf champions league....timu ambayo wanamwambia pilot wao weka dege silence hapo saa tatu tunasepa zetu kuwafuata esparance de tunis.
Kuanzia kiuchumi mpaka kwa wachezaji TP MAZEMBE hii sio TP ya miaka 5 years ago Quality yao imeshuka sana.