Taarifa za usajili wa dirisha dogo kwa timu za ligi kuu ya NBC

Hiki kipindi cha Usajili ndicho Gongowazi wanajifariji kwa ukame wa miaka minne Mutawalia.

Ukichagua Simba SC umechagua furaha Mutawalia.
 
Unaizungumzia list ya kiuchumi au list ya uchezaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilipewa jina la UBORA WA VILABU BARANI AFRIKA" iwe kiuchumi au kiuwanjani Mazembe na Simba haitofautiani kwasasa Rejea Thomas Ulimwengu saivi anamaajabu gani uko mazembe ata akirudi kucheza kimataifa starz anamchango gan pale?? Kwaio kama Ajibu alikataa dili alipiga hesabu nzuri tu wala sio kumlaumu
 
Alipokataa dili la kwenda mazembe na kukimbilia simba.
Nilijua kabisa Uyu dogo Hana Akili Kama yule Kaka yake mrisho ngasa

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣Yaani unakataa kwenda kwenye timu ambayo ilikuwa guarantee kucheza quarter final caf champions league....timu ambayo wanamwambia pilot wao weka dege silence hapo saa tatu tunasepa zetu kuwafuata esparance de tunis.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani unakataa kwenda kwenye timu ambayo ilikuwa guarantee kucheza quarter final caf champions league....timu ambayo wanamwambia pilot wao weka dege silence hapo saa tatu tunasepa zetu kuwafuata esparance de tunis.
Acha kujibishana na huyu pimbi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…