NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Sawa ngoja tusubiri.Ngoja dirisha likifungwa tutajua kama ni kweli chama cha mapinduzi au real cloutous chama
Possiblity ya Chama kurudi bongo ni ndogo sanaNgoja dirisha likifungwa tutajua kama ni kweli chama cha mapinduzi au real cloutous chama
Hicho kitu hakipo . Chama alishauzwa hayo mengine ni ya Mashabiki tu mkuu.Possiblity ya Chama kurudi bongo ni ndogo sana
Mbona Simba mwenyewe amechoka Sana🏃.
Halifungwi mpaka Chupli Chupli SC waithibitishie Tifutifu kwamba wameshamaliza kusajili.Hivi dirisha linafungwa tarehe ngapi?
Analaana ya kuwahujumu Uto wakati yuko at peak, kwa kucheza chini ya kiwango kwa makubaliano ya upande wa Pili.Duu. Mbona kama huyu jamaa mpira alikuwa anauweza kuliko baadhi ya wachezaji waliokuwa wanacheza kila siku pale Simba lakini alikuwa hapewi tu muda wa kutosha uwezo wake? Au sijui ni mimi tu nilikuwa naangalia mechi vibaya. Anyway nayaheshimu maamuzi ya uongozi na benchi la ufundi Simba inawezekana kuna kitu zaidi wamekiona.
Hii kashfa dhidi ya uumbaji wa Mungu haikujengi zaidi ya kuonesha ulivyopungukiwa utu.Na uyu wa chini hapa atambulishwa kesho kule Utopolo kama mtu wa mipasho mpya wa kwenye media.View attachment 2067612
Pamoja na kuwadhihaki kwa maneno yakuudhi ila Sikuona utopolo wakimshambulia kwa madhaifu hayo ya kimaumbile, hebu jifunzeni kuwa jaamii ya waliostaarabika, Dunia nzima imeungana kukemea hivi vitendo vya kibaguzi.Na uyu wa chini hapa atambulishwa kesho kule Utopolo kama mtu wa mipasho mpya wa kwenye media.View attachment 2067612
Kaenda geita goldSimba tumebakiza galasa moja hivi ameshachoka akamalizie uzee Namungo fc ni Erasto Nyoni
Kaenda geita gold
Akitangazwa ntakwambiaUnaweza kuthibitisha hilo mkuu?
Geita ni tawi la Yanga hilo, hivyo uwezekano wa kwenda ni mdogo, Labda aende NamungoKaenda geita gold
Kwani kuna nini kimetokea,iyo ni picha ya tikiti maji imechongwa kinyago cha mtu,tena sio Tanzania ni tikiti limechongwa uko nchi za Asia na ipo google.Hii kashfa dhidi ya uumbaji wa Mungu haikujengi zaidi ya kuonesha ulivyopungukiwa utu.
Nani uyo anaedhihakiwa?Pamoja na kuwadhihaki kwa maneno yakuudhi ila Sikuona utopolo wakimshambulia kwa madhaifu hayo ya kimaumbile, hebu jifunzeni kuwa jaamii ya waliostaarabika, Dunia nzima imeungana kukemea hivi vitendo vya kibaguzi.
Tayari unaelewa ulikuwa unamlenga nani, hebu acheni aina hii ya kejeli haifaiNani uyo anaedhihakiwa?
Wewe ndo umehamisha mawazo yako pengine.Tayari unaelewa ulikuwa unamlenga nani, hebu acheni aina hii ya kejeli haifai
Laana itakutafunaNa uyu wa chini hapa atambulishwa kesho kule Utopolo kama mtu wa mipasho mpya wa kwenye media.View attachment 2067612