Taarifa za usajili wa dirisha dogo kwa timu za ligi kuu ya NBC

Taarifa za usajili wa dirisha dogo kwa timu za ligi kuu ya NBC

Duu. Mbona kama huyu jamaa mpira alikuwa anauweza kuliko baadhi ya wachezaji waliokuwa wanacheza kila siku pale Simba lakini alikuwa hapewi tu muda wa kutosha uwezo wake? Au sijui ni mimi tu nilikuwa naangalia mechi vibaya. Anyway nayaheshimu maamuzi ya uongozi na benchi la ufundi Simba inawezekana kuna kitu zaidi wamekiona.
Analaana ya kuwahujumu Uto wakati yuko at peak, kwa kucheza chini ya kiwango kwa makubaliano ya upande wa Pili.

Na hatunae kusajiliwa kisiri kabla ya muda wa dirisha kufunguliwa.

Na huo usajili ndio ulimfanya ashindwe kwenda TP Mazembe.
 
Tusipo sajiri beki ya kati tutakua tumefeli sana
Daima mbele nyuma mwiko.
 
Na uyu wa chini hapa atambulishwa kesho kule Utopolo kama mtu wa mipasho mpya wa kwenye media.View attachment 2067612
Pamoja na kuwadhihaki kwa maneno yakuudhi ila Sikuona utopolo wakimshambulia kwa madhaifu hayo ya kimaumbile, hebu jifunzeni kuwa jaamii ya waliostaarabika, Dunia nzima imeungana kukemea hivi vitendo vya kibaguzi.
 
Hii kashfa dhidi ya uumbaji wa Mungu haikujengi zaidi ya kuonesha ulivyopungukiwa utu.
Kwani kuna nini kimetokea,iyo ni picha ya tikiti maji imechongwa kinyago cha mtu,tena sio Tanzania ni tikiti limechongwa uko nchi za Asia na ipo google.

Ni kama tu sanamu ya askari moment pale posta.ile ni dhambi?

Kule kwenye jukwaa la siasa mbona mnachora picha za viongozi wa siasa msiowapenda lakini amuoni kama ni dhambi?

ibakishe akili na mawazo yako kwa mujibu ya nilichokwambia asihamishe mawazo pengine.
 
Pamoja na kuwadhihaki kwa maneno yakuudhi ila Sikuona utopolo wakimshambulia kwa madhaifu hayo ya kimaumbile, hebu jifunzeni kuwa jaamii ya waliostaarabika, Dunia nzima imeungana kukemea hivi vitendo vya kibaguzi.
Nani uyo anaedhihakiwa?
 
''Sisi tunashambulia direct, hakuna mambo unaweka Mtu sijui kavaa mahirizi, kavaa mask, hamna mambo ya hirizi sisi wala kuvaa mask kuwatisha Watu unachukua mask unamuweka Mtu sio, chupli unafanya chupli, hamna mambo ya chupli” —— Manara. #MillardAyoUPDATES https://t.co/kl5VKG4Hrt
 
Tayari unaelewa ulikuwa unamlenga nani, hebu acheni aina hii ya kejeli haifai
Wewe ndo umehamisha mawazo yako pengine.
Izo picha ni sanaa uko nchi flani ya Asia,sasa kama una mawazo mengine iyo ni wewe sasa.
images%20(15).jpg
images%20(14).jpg
images%20(13).jpg
images%20(12).jpg
images%20(11).jpg
images%20(10).jpg
images%20(9).jpg
 
Back
Top Bottom