ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
- Thread starter
- #121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama nae hayo mabegi yote kajaza mafaili ya kuwapoteza wenzie uwanjani.
ndo yeye uyu,angalia chepe ilo juu.Sidhani kama Yule ni Yeye
Naona picha ya Shiboub akiwa na uzi wa Simba. Sitaki kuamini kuwa viongozi na benchi la ufundi la Simba wamekosa weledi kiasi hicho kiasi cha kumrudisha Shiboub. Wakisema kama wamemleta tu kama mchezaji mwalikwa ili kuchangamsha timu kwenye Mapinduzi Cup nitawaelewa. Hivi huyu Shiboub ambaye alikuwa anakata upepo kuanzia dakika ya 40 jumlisha umri halafu wamrudishe tena Simba? Labda kama anakuja bure Simba na Simba hawana pesa ya usajili hapo itakuwa sawa.
Kuliko Simba imsajili Shiboub ni bora mara 100 wamsajili Moses Phiri au Emanuel Okwi lakini sio huyu jamaa. Na kila siku viongozi wa Simba wanaambiwa hapa jamvini toka dirisha kubwa la usajili kuwa shida ya Simba sio kiungo ni mshambuliaji namba tisa (9). Washambuliaji waliopo sasa wote walikuwa wanafichiwa madhaifu yao na Chama na Luis kwa kufunga magoli wao wenyewe na pia kuwapa washambuliaji pasi za mwisho za upendo. Lakini toka Chama na Luis wameondoka leo hii ligi ipo karibu nusu hakuna mshambualiaji hata mmoja mwenye goli tano (5) kati ya washambuliaji wote watatu wa Simba.
Mkuu Boban wale wanatupiga bakora kila siku. Nasikia kuna mTP mazembe mwingine anakuja. Sisi tupo kimya tumkuu tuliza ball
Simba imesajili Afisa habari?Ni Afisa habari
Kwenye dirisha hili la usajili ndio tutajua mambo mawili:Wako 2 wamekuja kwenye Majaribio Wakimshawishi Mwalimu wanasajiriwa
Huyu aliyedaiwa kutambulishwa leo saa nane mchana mbona mpka saivi kimya?ndo yeye uyu,angalia chepe ilo juu.View attachment 2067140View attachment 2067142
Saa nane mchana alikua ni huyu apo chini.Huyu aliyedaiwa kutambulishwa leo saa nane mchana mbona mpka saivi kimya?
Vipi hio inajumlisha viwango vya mishahara ya wachezaji? Kama ni hivo basi Simba ina shida sanaUsikariri mkuu,
Tp mazembe siku hizi wanashindwa kusajili Wachezaji wanaowahitaji sababu wamepungukiwa pesa, inawezekana hawajashuka sana ila hakuna tofauti kubwa sana.
Angalia thamani ya vikosi vyao hapa
Tp Mazembe € 1.98m
Simba sc € 1.73m
Azam fc. € 1.05m
View attachment 2062882View attachment 2062884View attachment 2062886
Kwahiyo mwenye mabegi mabegi sio chama ni Ahmed Ally?Saa nane mchana alikua ni huyu apo chini.View attachment 2067610
Kwamba alipokuwepo mafaili yalikuwa hayafunguki?Chama nae hayo mabegi yote kajaza mafaili ya kuwapoteza wenzie uwanjani.
Mwenye mabegi huyo ni Chama cha Mapinduzi.Kwahiyo mwenye mabegi mabegi sio chama ni Ahmed Ally?
Alipokuwepo alikua akitumia mafile ya soft copy kule kwa waarabu wakambadilisha akawa na makaratasi kibao.Kwamba alipokuwepo mafaili yalikuwa hayafunguki?
hebu tupe source ya hizo habari kwamba TP Mazembe imeshuka kiuchumi.Kuanzia kiuchumi mpaka kwa wachezaji TP MAZEMBE hii sio TP ya miaka 5 years ago Quality yao imeshuka sana.
Tp Mazembe ilianza kuyumba kiuchumi baada ya boss wao Moise Katumbi kuipata kesi za kisiasa huko Congo kisha akatimukia Ufaransa.hebu tupe source ya hizo habari kwamba TP Mazembe imeshuka kiuchumi.
Kisoka, nitakubaliana na wewe kwamba kwasasa performance yao imedrop kdg, kama ilivyo kwa zamalek walivyorudi nyuma kimashindano.
Tofautisha kudrop kimashindano na kuanguka kiuchumi.
Pyramid ipo juu kiuwezo wa fedha lakn kwny mashindano inatapatapa tu.
Ngoja dirisha likifungwa tutajua kama ni kweli chama cha mapinduzi au real cloutous chamaMwenye mabegi huyo ni Chama cha Mapinduzi.
Simba wala hawahitaji kusajili, kwa sasa wanatumia utaratibu wa kwenda viwanjani saa sita usiku kuset "mitambo".Kwakuwa tupo Kwenye Dirisha Dogo la Usajiri na Timu mbalimbali Zinauza na Kusajiri Wachezaji, Basi Huuu ni Uzi Maalumu Kwaajiri ya Taarifa zote zinazo husu Usajiri kwa Timu Zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.
Katika Kipindi cha Usajiri ndio Kipindi ambacho Wapenzi na Mashabiki wa Mpira hufuatilia sana Timu zao Pendwa Kujua Ni Nani Ameachwa katika kikosi, Nani Kauzwa, Nani Katolewa kwa Mkopo Na Nani Amesajiriwa. Basi Taarifa Zote Tutakuwa tukiziweka Hapa ili Tupate Muendelezo Wa Taarifa za Vilabu Vyetu.
Pia Kama Kuna Tetesi Yoyote Ya Usajiri Basi Tusisite Kuweka Hapa
-Yanga Imeshatangaza wachezaji ilio wasajiri na Inayoendelea kuwasajiri
-IBRAHIM AJIBU tayari Ameshatua Azam Kwa Mkataba Wa Mwaka Mmoja