Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga imekamisha usajili wa wachezaji wawili;-
1. Deus Kaseke (21) aliesajiliwa kutoka mbeya city, amekula mkataba wa miaka 2 kuitumikia yanga afrika.
2.Haruna Chanongo (22) amesajiliwa kama mchezaji huru kutoka simba.
3.Peter Mwalyanzi aliesajiliwa na simba kutoka mbeya city, mchezaji huo atakuwa mali ya simba sc hadi hapo 2017.
4.Rashidi Mandawa amesajiliwa na timu ya Mwadui fc kutoka kagera suger.
Chanongo alishindwa kwenda tp mazembe kufanya majaribio baada ya kupata majeraha ya mguu kwenye mechi ya yanga vs stand united uwanja wa taifa.Tendeni haki na hapa mbona wa ulaya mnaonyesha dau la usajili hapa mbona hamtuonyeshi dau walilosajiliwa..au ndo kudhihirisha kuwa wao ni unprofessional...sasa huyo Chanongo hapo jangwani ndo TP MAZEMBE alikoenda kufanya majaribio
Gunners wamekamilisha usajiri wa Artulo Vidal kwa miaka 4 kwa thamani ya £25
Mwalyanzi wa Mbeya city ahamia SSC.
Ule uvumi wa kiungo wa kidachi na Roma Strockoman kwenda Man Utd umefikia wapi?..
ni STROOTMAN na si Strockoman