Baada ya kumalizika kwa msimu wa soka 2014/2015 katika ligi mbalimbali barani Ulaya na kila timu kuvuna ilichopanda,sasa ni nafasi nyingine kwa timu kutumia pesa zilizovuna baada ya ligi kwa kusaka wachezaji ambao zinadhani ni bora kwa ajili ya kuimarisha vikosi vyao na kuleta ushindani mkubwa ili kutetea au kushinda vikombe.
Ikiwa ni juma la kwanza baada ya dirisha la usajili kufunguliwa kuna tetesi nyingi kuhusiana na baadhi ya wachezaji wenye majina makubwa na wale wasiokuwa na majina makubwa kuwa na uwezekano wa kuhama vilabu vyao na kujiunga na vilabu vingine aidha kwenye ligi ya awali au kwenye ligi tofauti
Vilabu vikubwa na tajiri kama Real Madrid,Chelsea,Man united,Barcelona,Arsenal,Man City,Juventus,Liverpool,Bayern Munich,AC Milan na vingingine vimeanza kupigana vikumbo kwa ajili kunasa saini ya wachezaji na hata makocha.
Baadhi ya wanasoka mahiri ambao inasemekana kuna uwezekano mkubwa wa kuhama vilabu vyao na kwenda vilabu vingine kwa ajili ya aidha maslahi au changamoto ni pamoja na:-
1.Gareth Bale
2.David de Gea
3.Paul Pogba
4.Karim Benzema
5.Raheem Sterling
6.Nathaniel Clyne
7.Yaya Toure
8.James Milner
9.Hugo Lorris
10.Gonzalo Higuain
11.Ikey Gundogon
12.Peter Chech
13.Mario Gotze
14.Antonio Guerzman
15.Ortamendi
16.Carlos Tevez
17.Cuadrado Juan
18.Dany Ings
19.Angel Dimaria
20.Radamel Falcao
19.Nicolas Gaitan
20.Sami Khedira
21.Theo Walcot
22.Christian Benteke
23.Dany Alves
24.Lucas Poldoski
25.Robin Van Persie
26. Drogba Didier
27.Oscar
28.Jackson Martnez
29.Diabara
30.Morgan Shirnderlin
Hao ni sehemu tu ya wengi wanaotarajiwa kuhama kwenye vilabu vyao
Nani ataenda wapi,nani kaenda wapi,tupia taarifa!!!!!!!!!!!