Taarifa za Usajili wa vilabu vya Soka, msimu wa 2015/2016

Cristiano Ronaldo (30) amesema anaweza kuondoka Real Madrid kama vipi, kwake sio ishu wala nini. Atatoa maamuzi ndani ya siku 10 zijazo.
 
Chelsea imemchukua kiungo kinda wa Brazil Nathan (19) kutoka Atletico Paranaense ya Brazil. Dogo huyo anafanya idadi ya waBtazil mdani ya Chelsea kuwa watano.
 
Kocha Rafael Benitez (55) huenda akatua Real Madrid msimu ujao kuchukua nafasi ya Carlo Ancelotti ambaye anatazamiwa kuachia ngazi mwisho wa msimu.
 
ManCity inamchukua Raheem Sterling (20) kwa dau la £45m kutoka Liverpool.
 
Arsenal inawalenga forward Alexandre Lacazette (23) na midfielder Nabil Fekir (21) wa Lyon kwa jumla ya dau la £60m.
 
ManUtd haitampa mkataba Radamel Falcao (29) baada ya kuchemsha vibaya tangu atue OT. Falcao amefunga magoli 4 katika mechi 29 alizocheza. Anarudi Monaco msimu ujao.
 
Yanga imekamisha usajili wa wachezaji wawili;-
1. Deus Kaseke (21) aliesajiliwa kutoka Mbeya City, amekula mkataba wa miaka 2 kuitumikia Yanga Afrika.

2.Haruna Chanongo (22) amesajiliwa kama mchezaji huru kutoka Simba.

3.Peter Mwalyanzi aliesajiliwa na Simba kutoka Mbeya City, mchezaji huyo atakuwa mali ya Simba hadi hapo 2017.

4.Rashidi Mandawa amesajiliwa na timu ya Mwadui FC kutoka Kagera Sugar.
 
Kocha Rafael Benitez (55) huenda akatua Real Madrid msimu ujao kuchukua nafasi ya Carlo Ancelotti ambaye anatazamiwa kuachia ngazi mwisho wa msimu.

Carlo Ancelotti ametemwa!
Rafael Benitez huenda akatua Real wiki ijayo.
 
Tendeni haki na hapa mbona wa ulaya mnaonyesha dau la usajili hapa mbona hamtuonyeshi dau walilosajiliwa..au ndo kudhihirisha kuwa wao ni unprofessional...sasa huyo Chanongo hapo jangwani ndo TP MAZEMBE alikoenda kufanya majaribio
 
Chanongo alishindwa kwenda tp mazembe kufanya majaribio baada ya kupata majeraha ya mguu kwenye mechi ya yanga vs stand united uwanja wa taifa.
 
Gunners wamekamilisha usajiri wa Artulo Vidal kwa miaka 4 kwa thamani ya £25
 
Haruna Moshi "Boban" muda wowote kutoka sasa atasaini kandarasi ya kuitumikia club ya mbeya city ya mkoani mbeya.
 
Raheem Sterling (20) huenda akatua Real Madrid endapo Rafael Benitez atapewa timu wiki ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…