Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Umelijua hilo leo?Wenzio wanaitana ma shaheed kwa kila anayewahishwa kwa mabikra.Kama ni kweli basi Hamasi wanapigana na Israel kwa sababu za kidini siyo kutaka nchi yao, it means wameshikilia mateka wa dini zote isipokuwa waislam? Kama ni hivyo litakuwa ni kusa kubwa kwa hamas
Ukifa shahidi manake umekufa ukipigania dini.