Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
NAMSUBIRIA KWA HAMU HUYO MWEKEZAJI MPYA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi nomaUkweli ndio huo, ni yeye na familia yake na watu wachache.
Ubinafsi na u mimi unatukwamisha sana kufsnya kila kitu dili"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Nafikiri ifike mahali tunatakiwa kumuelewa Botha kwa hicho alichosema. Japokuwa ni chungu lakini tunatakiwa kumeza hivyo hivyo. Hakuna jinsi.
Unachokiandika ni dhana tu.Hizi taarifa zinachanganya!
Tarehe 23 march niliangalia taarifa ya habari, Taarifa zinasema Serikali ina mpango wa kutafta mwekezaji ambaye ataleta mabasi na kutoa huduma kama mzabuni.
Tarehe 25 march katika taarifa ya habari wanasema mzabuni tayali kashaanza kuigiza mabasi! Swali tenda ilitangazwa lini?
Anyway! Wanaendelea kusema Mabasi hayo yatakuwa ya mzabuni hadi pale yatapofikia uchakavu ndipo yatakuwa mali ya serikali. Swali serikali kama imeshindwa kuyasimamia yakiwa mapya watawezaje kuyasimamia watapokabidhiwa yakiwa mabovu?
Huyu mzabuni ni nani? Kwanini mkataba useme mabasi chakavu itakabidhiwa serikali ili iweje?
Waandishi hebu fuatilieni tuwe tunapata taarifa zilizonyooka!
Utashangaa makampuni atakayoshinda ni ya inje wakati bongo kuna Kinashabiby, abood,tilisho, bm wanahaha kutafta abiria wa kuokota ..wakati kwenye mwendokasi abiria ni wa kuchota na kumwagaKila mwenye na uwezo alete ya kwake kikubwa yatafautiane rang.halafu washindane mwenye kugawa juis na mikate ruksa ili mrad kuvuta wateja. Mwenye kuweka akijaza level seat aondoke sawa. Shida tu naul atakua anachkua agent mmoja au waweke mashine kila kampun ina scan hela yake
Utashangaa sana akitangazwa wakati pale ubungo makapuni kibao, Sijui kama TABOA wanayotaarifa ya tenda hiiNAMSUBIRIA KWA HAMU HUYO MWEKEZAJI MPYA
HahahKila mwenye na uwezo alete ya kwake kikubwa yatafautiane rang.halafu washindane mwenye kugawa juis na mikate ruksa ili mrad kuvuta wateja. Mwenye kuweka akijaza level seat aondoke sawa. Shida tu naul atakua anachkua agent mmoja au waweke mashine kila kampun ina scan hela yake
Haya maelezo yako yanaumiza sana Moyo kuna watu wanastahili wapigwe mabanzi ya vichwa na fimbo za mgongo wakiwa wanajiweka sawa kuegesha matako kwa ajili ya kupokea viboko wakiwa wanaelekea Jela,Hizi taarifa zinachanganya!
Tarehe 23 march niliangalia taarifa ya habari, Taarifa zinasema Serikali ina mpango wa kutafta mwekezaji ambaye ataleta mabasi na kutoa huduma kama mzabuni.
Tarehe 25 march katika taarifa ya habari wanasema mzabuni tayali kashaanza kuigiza mabasi! Swali tenda ilitangazwa lini?
Anyway! Wanaendelea kusema Mabasi hayo yatakuwa ya mzabuni hadi pale yatapofikia uchakavu ndipo yatakuwa mali ya serikali. Swali serikali kama imeshindwa kuyasimamia yakiwa mapya watawezaje kuyasimamia watapokabidhiwa yakiwa mabovu?
Huyu mzabuni ni nani? Kwanini mkataba useme mabasi chakavu itakabidhiwa serikali ili iweje?
Waandishi hebu fuatilieni tuwe tunapata taarifa zilizonyooka!
Niliona migari kibao ya mwendokasi imeletwa au ni mradi wa nani?Still wanajenga barabara mpya za mwendokasi ilhali zilizopo wanashindwa kuzitumia effectively
Hio kauli iwafikie viongozi wako walioushindwa mradi wa mwendokasi"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Nafikiri ifike mahali tunatakiwa kumuelewa Botha kwa hicho alichosema. Japokuwa ni chungu lakini tunatakiwa kumeza hivyo hivyo. Hakuna jinsi.
Sasa kama wazawa hakuna mzabuni wa kuchota abiria na kumwaga ...elimu ya Tanzania basi haina maana kama vitu vyeupe kama hivi ambavyo mtu anaweza kufanya bila hata kwenda shule navyo vikitushinda!Niliona migari kibao ya mwendokasi imeletwa au ni mradi wa nani?
Kuna neno nilitaka kulitoa hapa Ila acha nisiseme kituSasa kama wazawa hakuna mzabuni wa kuchota abiria na kumwaga ...elimu ya Tanzania basi haina maana kama vitu vyeupe kama hivi ambavyo mtu anaweza kufanya bila hata kwenda shule navyo vikitushinda!
Yaani kuchota abiria na kumwaga chapu
Utashangaa makampuni atakayoshinda ni ya inje wakati bongo kuna Kinashabiby, abood,tilisho, bm wanahaha kutafta abiria wa kuokota ..wakati kwenye mwendokasi abiria ni wa kuchota na kumwaga
Kule kwa kina uncleMbona alisema wazi kabisa kuwa mwekezaji anatokea DUBAI mkuu