Wewe bangi za Chuga zinakudhuru.Umekalia kusambaza uzushi.Saleh Alli amekanusha na kusema watawachukulia hatua za kisheria wazushi hao.Mikia achani uboya..kaikana baada ya kupenyezewa chochote kitu na viongozi wa mikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawaa mkuu sisi wanasimba tupo tayari kumpa mali zote tena hatumpi 70% kama mnavyosema..tuna taka tumpe 100%...nyi hayawahusu...kama inauma na nyie mpeni mzee akilimaliMikia achani uboya..kaikana baada ya kupenyezewa chochote kitu na viongozi wa mikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini mshabiki wa makwasukwasu a.k.a ombaomba fc atupangie sisi namna ya kuingia mikataba....sawa sisi tuliingia mkataba wa kijinga nyie ingieni mkataba wenye akili na kina mzee akilimaliHili suala liko wazi ,simba waliingia mkataba wa kijinga sana. Sasa hvi zile ngojera za ujenzi wa uwanja wa kisasa zmekufa.
Mkuu nipe namba ya yanga wanaokusanyia michango...nataka niwatumie mia tano m pesa hapaLisemwalo lipo na kama halipo.........loading
Mkuu huu ushauri ungempa manji kipindi kile alivyokuwa anaimiliki timu yenu kwa sasa hatudanganyiki.....sisi washabiki wa simba tupo tayari kumpa moodewji timu yote aichukue iwe yake kabisa nyie yanga hayawahusu...kwanini mnateseka???sahivi ndo mnajifanya akili zimewarudi mmekuwa watoa ushauri...huo ushauri peaneni hukohuko kwenu na kina mzee akilimaliHawa wafanya biashara kama wakina Dewji, kama kweli wanania nzuri ya kuendeleza soka la Tanzania ni vizuri wakanunua timu waendeshe wenyewe wanavyotaka. Haya mambo ya kung'ang'ania Yanga na Simba sijaona bado mafanikio yoyote zaidi ya migogoro miaka inakwenda timu zimebaki hapo hapo tu.
Kama nia kuendesha timu kibiashara watafute timu kama alivyofanya Azam waendeshe kibiashara. Waendeleze vipaji kutoka utotoni mpaka mafanikio yatapatikana.
Watanzania hatupendi maendeleo na ni waoga wa mabadiliko, kila kitu tunataka tufanye kwa mazoea bila kuingiza mbinu mpya hili tusonge mbele.
Simba bwana ni kama maaaji lazima utayanywa kwa saaaannaMikia achani uboya..kaikana baada ya kupenyezewa chochote kitu na viongozi wa mikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa yako mimi Simba damu na nimetoa maoni kama mshabiki wa mpira na sio kama mshabiki wa klabu ya mpira.Mkuu huu ushauri ungempa manji kipindi kile alivyokuwa anaimiliki timu yenu kwa sasa hatudanganyiki.....sisi washabiki wa simba tupo tayari kumpa moodewji timu yote aichukue iwe yake kabisa nyie yanga hayawahusu...kwanini mnateseka???sahivi ndo mnajifanya akili zimewarudi mmekuwa watoa ushauri...huo ushauri peaneni hukohuko kwenu na kina mzee akilimali
Huwezi kuwa mshabiki wa simba wewe..mshabiki gani usijejua kuwa kilichopo ni simba tumebadilisha mfumo wa uendeshaji wa timu...maswala ya kusema moodewji akanunue timu yake yanatoka wapi umeambiwa sisi tunataka kuiuza timu...kilichopo tumebadilisha mfumo wa uendeshaji wa timu...na mfumo huyo ndo unatumiwa hata ulaya na vilabu vikubwa tena karibu vyote...simba hata wewe unaweza kuwa sehemu ya umiliki ni pesa yako tu...leo hata wewe ukienda na mabilioni yako ukitaka kumtoa moodewji nenda tunakupa timu...hizi kelele za baadhi ya mashabiki hatuzipi nafasi tena...kwani wa avyosema mo sjui anataka nini hii simba tangu imeanza mpaka lei ina nini zaidi ya kile kijengo kariakoo...inasikitisha timu kama simba haina hata uwanja wa mazoezi...leo hii tumepata mwekezaji anatujengea uwanja...ananunua wachezaji kwa bei kubwa kuna watu wanaanza kelele kelele sababu wanaona wameshindwa kupiga dili na kula hela za zimba...simba we are in a right trackKwa taarifa yako mimi Simba damu na nimetoa maoni kama mshabiki wa mpira na sio kama mshabiki wa klabu ya mpira.
Tatizo letu ndio hapo, kila kitu mnaweka ushabiki wa timu mbele kuliko muelekeo wa soka la Tanzania kwa ujumla. Ni ngumu kutoa maoni mazuri kama unaweka ushabiki wa timu mbele. Tunaweka chuki binafsi kwenye kila jambo; ndio maana juzi ukaona wale wanaomchukia Bashite wali omba timu ya Taaifa ifungwe wakati timu ya Taifa inawakilisha wa Tanzania wote na sio mtu mmoja (bashite).
Sasa swala la Mo kama nia kumpa timu, apewe timu ili aanze kutimiza malengo yake badala ya makundi kuanzisha migogoro ambayo inaweza kukwamisha maendeleo ya timu.
Lisemwalo lipo na kama halipo.........loading
Mficha maradhi anajulikana. TASAF inaendeleaje?Kikao cha Arusi kibubu kimefikia wapi?Na mficha maradhi....kifo umuuumbua,
let's wait and see.
Wewe unazo hisa ngapi kwenye hiyo club yenu? Au unajifurahisha tu. Bora sisi tunaochangia kuliko nyie. Hiyo timu ni Mali ya MTU, mtake mistake habari ndiyo hiyo. Povu ruksaHuwezi kuwa mshabiki wa simba wewe..mshabiki gani usijejua kuwa kilichopo ni simba tumebadilisha mfumo wa uendeshaji wa timu...maswala ya kusema moodewji akanunue timu yake yanatoka wapi umeambiwa sisi tunataka kuiuza timu...kilichopo tumebadilisha mfumo wa uendeshaji wa timu...na mfumo huyo ndo unatumiwa hata ulaya na vilabu vikubwa tena karibu vyote...simba hata wewe unaweza kuwa sehemu ya umiliki ni pesa yako tu...leo hata wewe ukienda na mabilioni yako ukitaka kumtoa moodewji nenda tunakupa timu...hizi kelele za baadhi ya mashabiki hatuzipi nafasi tena...kwani wa avyosema mo sjui anataka nini hii simba tangu imeanza mpaka lei ina nini zaidi ya kile kijengo kariakoo...inasikitisha timu kama simba haina hata uwanja wa mazoezi...leo hii tumepata mwekezaji anatujengea uwanja...ananunua wachezaji kwa bei kubwa kuna watu wanaanza kelele kelele sababu wanaona wameshindwa kupiga dili na kula hela za zimba...simba we are in a right track
Imepenya hiyooo na kukuna pale penyewe.Mficha maradhi anajulikana. TASAF inaendeleaje?Kikao cha Arusi kibubu kimefikia wapi?
Kama kichwa cha Kagere. NAONA tokea kile kichwa kiingie mnaweweseka sana.Na bado safari ndio kwanza imeanza. Mkitoa droo fanyeni maandamano.Imepenya hiyooo na kukuna pale penyewe.
Hata ikiwa mali ya mtu nyi yanawahusu nini....ndiyo ni mali ya mtu tumeamua kumpa moodewji....na tumempa sasa tena tumemuuzia kimojamoja milele na milele....inauma eeeeh???..toa namba ya ombaomba fc mnayochangishia hela kuna buku hapa nataka niwape nasikia wachezaji wanakufa njaa hukoWew
Wewe unazo hisa ngapi kwenye hiyo club yenu? Au unajifurahisha tu. Bora sisi tunaochangia kuliko nyie. Hiyo timu ni Mali ya MTU, mtake mistake habari ndiyo hiyo. Povu ruksa