IWAMBI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 730
- 624
Kama kile kimoja kilivyopenya makalioni juzijuzi tulivyowalawiti ombaomba fc....kimoja cha mkwezii mamaeeImepenya hiyooo na kukuna pale penyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kile kimoja kilivyopenya makalioni juzijuzi tulivyowalawiti ombaomba fc....kimoja cha mkwezii mamaeeImepenya hiyooo na kukuna pale penyewe.
MO aliinunua African Lyon ikamshinda, akajiingiza Singida United akaona hatapata maslahi timu haina mashabiki wengi, akawalaghai simba wakaingia kingi akajimilikishaHawa wafanya biashara kama wakina Dewji, kama kweli wanania nzuri ya kuendeleza soka la Tanzania ni vizuri wakanunua timu waendeshe wenyewe wanavyotaka. Haya mambo ya kung'ang'ania Yanga na Simba sijaona bado mafanikio yoyote zaidi ya migogoro miaka inakwenda timu zimebaki hapo hapo tu.
Kama nia kuendesha timu kibiashara watafute timu kama alivyofanya Azam waendeshe kibiashara. Waendeleze vipaji kutoka utotoni mpaka mafanikio yatapatikana.
Watanzania hatupendi maendeleo na ni waoga wa mabadiliko, kila kitu tunataka tufanye kwa mazoea bila kuingiza mbinu mpya hili tusonge mbele.
Hata mie imeniumaaa kea results hizo!!Hahahaaa. Hatari faya Binamu.
Simba chini ya MO imebeba ubingwa wa ligi.. imetinga robo ya CCL... UNASEMAJE SASAMO aliinunua African Lyon ikamshinda, akajiingiza Singida United akaona hatapata maslahi timu haina mashabiki wengi, akawalaghai simba wakaingia kingi akajimilikisha
Kazi kushabikia timu mbovu.Bangi za Arusha zinamdhuru.
Hahahah hahaha huwa anavuta cha MaranguKazi kushabikia timu mbovu.Bangi za Arusha zinamdhuru.
Itunze hii ngojela yako,Hili suala liko wazi ,simba waliingia mkataba wa kijinga sana. Sasa hvi zile ngojera za ujenzi wa uwanja wa kisasa zmekufa.