TAARUKI MSIMBAZI (Huko kwa mikia fc aka mbumbumbu fc wazee wa spray kumewaka moto)

TAARUKI MSIMBAZI (Huko kwa mikia fc aka mbumbumbu fc wazee wa spray kumewaka moto)

Hawa wafanya biashara kama wakina Dewji, kama kweli wanania nzuri ya kuendeleza soka la Tanzania ni vizuri wakanunua timu waendeshe wenyewe wanavyotaka. Haya mambo ya kung'ang'ania Yanga na Simba sijaona bado mafanikio yoyote zaidi ya migogoro miaka inakwenda timu zimebaki hapo hapo tu.

Kama nia kuendesha timu kibiashara watafute timu kama alivyofanya Azam waendeshe kibiashara. Waendeleze vipaji kutoka utotoni mpaka mafanikio yatapatikana.

Watanzania hatupendi maendeleo na ni waoga wa mabadiliko, kila kitu tunataka tufanye kwa mazoea bila kuingiza mbinu mpya hili tusonge mbele.
MO aliinunua African Lyon ikamshinda, akajiingiza Singida United akaona hatapata maslahi timu haina mashabiki wengi, akawalaghai simba wakaingia kingi akajimilikisha
 
Mwenye hii thread kavuta bange kwa siri kubwa mnoo hivyo inamtesa [emoji3][emoji3]
Screenshot_20190412-195923.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20190412-195923.jpeg
    Screenshot_20190412-195923.jpeg
    43.2 KB · Views: 15
Hayo mambo ndo yameifikisha vyura hapo walipo, mpira pesa,, huna pesa baki kuwa mshabiki tu inatosha,, mambo ya kuchangia pesa kwa namba ya simu dah.😂😛😀
 
  • Thanks
Reactions: Tui
MO aliinunua African Lyon ikamshinda, akajiingiza Singida United akaona hatapata maslahi timu haina mashabiki wengi, akawalaghai simba wakaingia kingi akajimilikisha
Simba chini ya MO imebeba ubingwa wa ligi.. imetinga robo ya CCL... UNASEMAJE SASA
Tunataka mafanikio sio historia ya Lyon hapa
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ndio maana Zahara kila kukicha anazungumzia Simba utafikiri Haji Manara. Sasa Tanzania imepata nafasi ya kuongeza timu kwenye mashindano ya CAF msimu wa 2020/2021 Tanzania itakuwa na timu 4 badala ya 2.
Migongo wazi miaka 21 pointi 3 halafu wanafungua midomo.
Thanks to SIMBA nafasi zimeongezeka.
 
  • Thanks
Reactions: Cyk
Back
Top Bottom