TAARUKI MSIMBAZI (Huko kwa mikia fc aka mbumbumbu fc wazee wa spray kumewaka moto)

MO aliinunua African Lyon ikamshinda, akajiingiza Singida United akaona hatapata maslahi timu haina mashabiki wengi, akawalaghai simba wakaingia kingi akajimilikisha
 
Mwenye hii thread kavuta bange kwa siri kubwa mnoo hivyo inamtesa [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20190412-195923.jpeg
    43.2 KB · Views: 15
Hayo mambo ndo yameifikisha vyura hapo walipo, mpira pesa,, huna pesa baki kuwa mshabiki tu inatosha,, mambo ya kuchangia pesa kwa namba ya simu dah.πŸ˜‚πŸ˜›πŸ˜€
 
Reactions: Tui
MO aliinunua African Lyon ikamshinda, akajiingiza Singida United akaona hatapata maslahi timu haina mashabiki wengi, akawalaghai simba wakaingia kingi akajimilikisha
Simba chini ya MO imebeba ubingwa wa ligi.. imetinga robo ya CCL... UNASEMAJE SASA
Tunataka mafanikio sio historia ya Lyon hapa
 
Reactions: Tui
Ndio maana Zahara kila kukicha anazungumzia Simba utafikiri Haji Manara. Sasa Tanzania imepata nafasi ya kuongeza timu kwenye mashindano ya CAF msimu wa 2020/2021 Tanzania itakuwa na timu 4 badala ya 2.
Migongo wazi miaka 21 pointi 3 halafu wanafungua midomo.
Thanks to SIMBA nafasi zimeongezeka.
 
Reactions: Cyk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…