Taasisi au Mamlaka gani wanajihusisha na ajira wao wenyewe bila kupeleka tangazo la ajira sekretarieti ya ajira?

Wakuu mbona psrs wameweka pdf za kuita usaili alaf wameziondoa hapo hapo, ni leo hii.
 
Umebahatika kuona zipi na zipi?

Nadhani watazirudisha baadae, system itakuwa imesumbua kwa ilishatokeaga hivyo mwezi wa 9

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mkuu nimeziona nyingi nyingi alaf wakaziondoa fasta sikuweza kuzimark vzur... Ila kuna muhimbili national hospital (MNH), TEMDO,N.k ila ni pdf nyingi
 
Ajira kwa Taasisi na kampuni zote za serikali lazima zipitie PSRS au TAMISEMI.hakuna agent au mbadala mwingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…