Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BotHabari wana jf hivi ni taasisi au mamlaka gani wanajihusisha na ajira wao wenyewe bila kupeleka tangazo la ajira sekretarieti ya ajira?
Tazara, Tazama
Vipi TISS na Ikulu mkuu?Tazara, Tazama
Mkuu nimeziona nyingi nyingi alaf wakaziondoa fasta sikuweza kuzimark vzur... Ila kuna muhimbili national hospital (MNH), TEMDO,N.k ila ni pdf nyingiUmebahatika kuona zipi na zipi?
Nadhani watazirudisha baadae, system itakuwa imesumbua kwa ilishatokeaga hivyo mwezi wa 9
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Wanaweka wanaondoa nahisi system yao haijakaa sawaHizo hapo
Mkuu,mbona una Masikhara na Maisha.. hizi ndo interview za Leo.. si pdf za Toka mwez September hizo.. Au wenzetu mnaota..?Hizo hapo
Mkuu,, umeona Leo aua mwezi September.. maana siwaelewi.. nao Mshikaji kapost za mwezi uliopita duuuhWan
Wanaweka wanaondoa nahisi system yao haijakaa sawa
Acha kuzingua mbona screenshort zako ni interview zilizopita nwezi wa 9? Kuwa seriaz hapa siyo facebookHizo hapo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] analeta mambo ya fesibukuAcha kuzingua mbona screenshort zako ni interview zilizopita nwezi wa 9? Kuwa seriaz hapa siyo facebook
We jamaa unastahili kuitwa Kichaa.. kwann unadanaganya jambo lisilokusaidia kwa loloteWan
Wanaweka wanaondoa nahisi system yao haijakaa sawa
Hiyo mikeka ilikuwa ya nini(waajiri gani)?Wakuu mbona psrs wameweka pdf za kuita usaili alaf wameziondoa hapo hapo, ni leo hii.
Hahahaa, jamaa kazingua sanaMkuu,mbona una Masikhara na Maisha.. hizi ndo interview za Leo.. si pdf za Toka mwez September hizo.. Au wenzetu mnaota..?
Huko hakuna usaili bali kuteuliwa tu majina yakipatikana unachunguzwa kila sehemu hadi kwenye mitandao ya kijamii kuangalia status yako na historia yakoVipi TISS na Ikulu mkuu?