Mfano mimi natumia ID fake kwa 99.9%, halafu nina ID halisi ambayo huwa napost vitu visivyohusika na mambo ambayo hawawezi kujua kama niko against na Gavo.
Je, zari likiniangukia si naweza kupenya? endapo wale wachache wanaoijua ID yangu fake wasipochomoa betri