Taasisi au Mamlaka gani wanajihusisha na ajira wao wenyewe bila kupeleka tangazo la ajira sekretarieti ya ajira?

Mkuu ndio nimekuja ku realize ni interview ambazo zimeshapita ila walizi upload tena kimakosa zaidi ya mara tatu... Nahisi kuna tatizo la kimtandao
 
Huko hakuna usaili bali kuteuliwa tu majina yakipatikana unachunguzwa kila sehemu hadi kwenye mitandao ya kijamii kuangalia status yako na historia yako
Mfano mimi natumia ID fake kwa 99.9%, halafu nina ID halisi ambayo huwa napost vitu visivyohusika na mambo ambayo hawawezi kujua kama niko against na Gavo.

Je, zari likiniangukia si naweza kupenya? endapo wale wachache wanaoijua ID yangu fake wasipochomoa betri
 
Sio mpaka against gavo hata kama ni mambo ya kipuuzi utachomolewa, history background check ni zaidi ya hayo mambo nikuwa makini na mitandao tu maana wale hata kama ni ID fake they will know.
 
Huo uchunguzi ni mkali sana ila kuna mambo(ya kiihalifu/kiusalama) huwa hawawezi kufanya chunguzi za kina.

Sijui huwa wanakwama wapi....
 
Back
Top Bottom