Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Nimekuwa nafuatilia mabenk na kujiridhisha kuwa, kwa kiasi kikubwa, mikopo yao wanayotoa sio rafiki kwa wajasiriamali wachanga. Kimsingi wanahitaji marejesho makubwa kiasi kwamba kwa mtu anayeanza mradi ni vigumu sana sana kufikia matarajio kwani kuna riski nyingi huweza kujitokeza kwa mara ya kwa kwanza.
Naomna kujua ni Saccos au campuni gani hutoa mikopo kwa interest nafuu
Naomna kujua ni Saccos au campuni gani hutoa mikopo kwa interest nafuu