Taasisi gani inatoa Mikopo kwa riba nafuu

Taasisi gani inatoa Mikopo kwa riba nafuu

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Nimekuwa nafuatilia mabenk na kujiridhisha kuwa, kwa kiasi kikubwa, mikopo yao wanayotoa sio rafiki kwa wajasiriamali wachanga. Kimsingi wanahitaji marejesho makubwa kiasi kwamba kwa mtu anayeanza mradi ni vigumu sana sana kufikia matarajio kwani kuna riski nyingi huweza kujitokeza kwa mara ya kwa kwanza.

Naomna kujua ni Saccos au campuni gani hutoa mikopo kwa interest nafuu
 
Nenda amana bank, hawana riba kabisa, ukikopa milioni unalipa milioni bila kuongeza hata shilingi
 
Ndugu, neno taasisi halina mnyumbuliko wowote, so rekebisha.

No capitalist ambaye Yuko nafuu zaidi ya mwenye riba nafuu, more kataba wanayoitoa inawaruhusu kubadili kiwango cha riba kadri mda unavyo kwenda.

Jaribu kufuatilia record tofauti za mikopo ya benki husika Na ukifanikiwa kupata mkopo please fanya ulichopanga kukifanya.

You may look for NMB.
 
Back
Top Bottom