Uchaguzi 2020 Taasisi iliyokusanya maoni ya mgombea wa CCM kushinda uchaguzi mkuu kwa asilimia 85, inachekesha na kusikitisha

Uchaguzi 2020 Taasisi iliyokusanya maoni ya mgombea wa CCM kushinda uchaguzi mkuu kwa asilimia 85, inachekesha na kusikitisha

Wakuu mi nataka nibet, anayeamin Lissu atashinda aweke Laki tano mi niweke million , akishinda anachukua Million akishindwa mi nachukua laki tano yake, chap washabiki wa Chadema mje ..hatutak maneno tunataka vitendo
.
Kushinda na kutangazwa mshindi ni mambo mawili tofauti. Kama unatumia ubongo wako vizuri utaelewa.
 
Unajiamini kwa sababu unajua mna tume ya uchafuzi ya CCM. Unakumbuka ile kauli nikuteue mimi, nikupe gari na posho, nikupe nyumba halafu umtangaze mpinzani.
Mambo mengne ni ubish tu!! Lakni ukwali Jpm kwa sasa anakubalika zaid kuliko uchaguzi uliopita kwa wananchi, mgombea wa chadema hana sera zinazogusa maisha ya kila siku ya wanachi, tofaut na kusema amepigwa, wanatekwa, wanadhulumiwa. Nk. Sasa kwa mwanachi anayeishi kijijini logalobogo bariad huko atamwelea Saa ngap?
 
Unajua hata kichaa pale Mirembe huamini hata wale wauguzi ndio vichaa, tumesikia sera ya elimu, Bima ya afya, nyongeza za mishahara nk. Lakini ni wenye hekima waliosikia, hivi mama yake Akwilina anampenda kama unavyodai? Mara ya mwisho mishahara ulipandishwa lini? Uhuru wa vyombo vya habari, uvunjifu wa katiba kwa kuzuia kazi za siasa nk vinamzidishia umaarufu?
Na wewe una majibu ya yaliyomkuta Lissu? Kwako pia ni jambo jepesi au?
 
Wanatakiwa kukamatwa mara moja waeleze ni wapi utafiti wao waliufanyia,.

CCM mwaka huu siyo ya kushinda Kwa kiwango hicho cha tafiti ya kipuuzi hivyo, CCM mwaka huu imefeli Sana ni 92%
 
Kura za rais Mkapa zilipanda awamu ya pili kulizo za awamu ya kwanza- nini mealezo yako
 
Wakuu mi nataka nibet, anayeamin Lissu atashinda aweke Laki tano mi niweke million , akishinda anachukua Million akishindwa mi nachukua laki tano yake, chap washabiki wa Chadema mje ..hatutak maneno tunataka vitendo
.
Milioni ndogo weka ata M5 ,alaf yy aweke ata 10,000 hatojitokeza mtu !!
 
Akitokea mtafiti mwingine akisema atàpata 47% anakamatwa, sasa huo utafiti wa upande mmoja unatusaidia nn?
 
MAANA YA UTAFITI
Utafiti ni njia ya kupata utatuzi wa suala fulani katika jamii na mazingira ya binadamu kwa njia ya uchunguzi unaotumia nadharia za kitaaluma na kisayansi.

Aidha utafiti ni njia maalum inayofuatwa ili kufikia ujuzi au taarifa muhimu inayokusudia kuchangia katika usomi wa kina na uchunguzi wenye mweleko wa kimaantiki. Utafiti wowote ule hauwezi kufanyika wala haukamiliki pasi kuongozwa na nadharia kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Kuna utafiti wa taasisi ya SSRC imekuja na utafiti wa kura za maoni kuwa mgombea wap wa Uraisi atashinda kwa 85% maoni hayo ni kama yaliishaminishwa huko nyuma na Katibu Mkuu wa CCM kuwa mgombea wao ataweka historia ya kushinda kwa 84% hivyo utaona hiyo taasisi haijaenda kufanya utafiti kwa kukusanya maoni kwa wapiga kura isipokuwa imechukua maoni ya katibu mkuu ya kutaka kulazimisha ushindi huo wa kushindo bila kuzingatia matakwa ya wapiga kura.

Nini dhana ya utafiti, Utafiti umeelezwa kwa njia mbalimbali.

Ufafanuzi mpana wa utafiti unatolewa na Godwin Colibao "Katika maana pana zaidi ya neno, ufafanuzi wa utafiti unahusisha kukusanya mambo yoyote ya data, habari na ukweli kwa ajili ya kuendeleza ujuzi.

Ufafanuzi mwingine wa utafiti unatolewa na John W. Creshwell ambaye anasema "ni mchakato wa hatua za kukusanya na kuchambua habari ili kuongeza uelewa wetu wa mada au suala". Inajumuisha hatua tatu ili kuuliza swali, kukusanya data ili kujibu swali, na kutoa jibu la swali.

Uongo wa Utafiti wa CCM
haulezwi umechukuliwa sehemu gani mkoa gani? Haulezwi ni idadi gani ya watu wangapi na makundi gani, umri na elimu zao, jinsi zao?

Haulezi ni vigezo wametumia kufanya utafiti aina ya maswali kama ni ya wazi au lah (wasije wakawa wanauliza unaonaje MAGUFULI atashinda Urais) halafu wanauliza makada wa CCM.

Ukweli ni kuwa kabla ya utafiti kulikuwa na ramli chonganishi huo unaoitwa utafiti wa Polepole ni ramli chonganishi.

Kwa vyovyote vile uwanja ukiwa huru hakuna mgombea atakayevuka 57% ya ushindi. Ushindani wa mwaka huu ni mkubwa.

Moja Rais aliyeko madarakani huwa anachokwa hivyo lazima asilimia zishuke tena kwa Meko zitashuka sana tu. Kinachomtofautisha Meko na maraisi wengine wastaafu ni ukatili wake wa kufingia vyombo vya habari, kutoguswa na majanga makubwa ya kitaifa kama vile tetemeko la Bukoba, Watoto 32 waliofariki pale Arusha, Polisi wetu 10 waliofariki pale Kibiti, watu kupotea, kutekwa na kuteswa na upendeleo wa waziwazi kwa CHAMA chake, kabila lake na rafiki/jamaa zake wa karibu nina imani CHADEMA wangetoa tafiti NBS leo wangekifungia hicho chombo kilichofanya utafiti.

Week end njema kwa Wote.
Jumamosi njema kwa wote.
Fanya na wewe utafiti wako ili tujue nini kinachoendelea kwa wapiga kura kama hukubaliani na huu wa hawa wengine.
 
Wakuu mi nataka nibet, anayeamin Lissu atashinda aweke Laki tano mi niweke million , akishinda anachukua Million akishindwa mi nachukua laki tano yake, chap washabiki wa Chadema mje ..hatutak maneno tunataka vitendo
.
Kama ni kushinda atashinda, sema kutangazwa
 
Hiyo taasisi feki ni ya akina Polepole, hakuna taasisi sasa hivi inayoweza kuruhusiwa kufanya tafiti huru ktk nchi hii, inayofanya lazima ni ya ccm wanayojifufurahishia.
 
Mambo mengne ni ubish tu!! Lakni ukwali Jpm kwa sasa anakubalika zaid kuliko uchaguzi uliopita kwa wananchi, mgombea wa chadema hana sera zinazogusa maisha ya kila siku ya wanachi, tofaut na kusema amepigwa, wanatekwa, wanadhulumiwa. Nk. Sasa kwa mwanachi anayeishi kijijini logalobogo bariad huko atamwelea Saa ngap?
Kwahiyo uko vijijini watu wana maisha magumu na niwajinga kiasi ambacho hawawezi kutofautisha zuri na baya au Hawana kabisa akili yakung"amua yanayoendelea nchi hii?.Au hawajui kabisa haki zao kiasi ambacho ata wakielimishwa hawataelewa.Au vichwa vyao nivigumu kiasi ambacho wanaona kuendelea kuishi maisha ya shida kijijini ni haki yao?.Kumbe ndo maana mnajitapa mtapata kura nyingi za watu wakijijini kwasababu mnajua kuna ujinga uliokithiri.Je unadhani hao watu wakijijini imekuaje wakawa na maisha ya hivyo?.Pamoja nakudharau watu wakijijini nakupa tu angalizo kua dunia inakimbia kwakasi sana.
 
Yaani mtu aliyeshinda kwa zengwe mwaka 2015 kwa 58%, miaka mitano baadae akiwa ameuvuruga uchumi, demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari vilivyo, eti ashinde kirahisi tu kwa 85%!!!

Huu ni utani wa karne.
Ramli inaonyesha Magu anatarajiwa kupata 15% pekee.Hawakawii kubadili matokeo hawa.
 
Back
Top Bottom