Taasisi Ipi ya Serikali Imefanya Vizuri Zaidi na Ipi Imefanya Vibaya Zaidi Mwaka 2023

TCAA imefanya poa maana wamepata cheti kizuri cha usalama wa anga katikq ukaguzi .

TPA wamekuwa waajri bora kwa kulinda maslahi ya wafanyakazi wao ..

Watu wa hovyo 👇
1.TANESCO
2.Idara ya maji
 
Ila Tanesco wahovyo zaidi🤣
 
TANESCO inabidi bodi ivunjwe upyaa.... apewe injinia Hersi wa YANGA
 
Taasisi ya Benjamin Mkapa Ultramodern Hospital. Taasisi bora kabisa kwa mwaka 2023
 
Back
Top Bottom