Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Dec 22, 2023 #21 TCAA imefanya poa maana wamepata cheti kizuri cha usalama wa anga katikq ukaguzi . TPA wamekuwa waajri bora kwa kulinda maslahi ya wafanyakazi wao .. Watu wa hovyo 👇 1.TANESCO 2.Idara ya maji
TCAA imefanya poa maana wamepata cheti kizuri cha usalama wa anga katikq ukaguzi . TPA wamekuwa waajri bora kwa kulinda maslahi ya wafanyakazi wao .. Watu wa hovyo 👇 1.TANESCO 2.Idara ya maji
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Dec 22, 2023 #22 Accumen Mo said: TCAA imefanya poa maana wamepata cheti kizuri cha usalama wa anga katikq ukaguzi . TPA wamekuwa waajri bora kwa kulinda maslahi ya wafanyakazi wao .. Watu wa hovyo 👇 1.TANESCO 2.Idara ya maji Click to expand... Ila Tanesco wahovyo zaidi🤣
Accumen Mo said: TCAA imefanya poa maana wamepata cheti kizuri cha usalama wa anga katikq ukaguzi . TPA wamekuwa waajri bora kwa kulinda maslahi ya wafanyakazi wao .. Watu wa hovyo 👇 1.TANESCO 2.Idara ya maji Click to expand... Ila Tanesco wahovyo zaidi🤣
Palina JF-Expert Member Joined Oct 9, 2021 Posts 3,551 Reaction score 9,522 Dec 22, 2023 #23 TANESCO inabidi bodi ivunjwe upyaa.... apewe injinia Hersi wa YANGA
Palina JF-Expert Member Joined Oct 9, 2021 Posts 3,551 Reaction score 9,522 Dec 22, 2023 #24 Bengal said: Ila Tanesco wahovyo zaidi🤣 Click to expand... Yaani ni hovyoest
mike2k JF-Expert Member Joined May 12, 2016 Posts 1,571 Reaction score 3,448 Dec 22, 2023 #25 Taasisi ya Benjamin Mkapa Ultramodern Hospital. Taasisi bora kabisa kwa mwaka 2023