Taasisi kama TRA, ualimu, NSSF, Tanroads, TARURA, BOT, n.k wanatakiwa waajiriwe kwa mkataba wa miaka 10 baada ya hapo waajiriwe wengine

Taasisi kama TRA, ualimu, NSSF, Tanroads, TARURA, BOT, n.k wanatakiwa waajiriwe kwa mkataba wa miaka 10 baada ya hapo waajiriwe wengine

Unajua impact yake?

Hao ukiwastaafisha unawaiibika kuwalipa pension wakati huo huo uwalipe walioko.kazini

Wakati hao unastaafisha bado wana nguvu ya kufanya kazi

Unawalipa pension wakati wako tu idle active Labour

Ni mzigo mzito mno kwa walipa kodi
Watu wengi Wana sahau hili
 
Nitahitaji majirani wanaofanya utafiti wa ajira na kutumbuliwa kila baada ya miaka 10 nunua kiwanja hapa shinyanga


Well


Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga katika mji wa Iselamagazi, eneo ilipo Hospitali ya Wilaya. Viwanja hivi vipo kandokando ya Barabara Kuu ya Shinyanga - Solwa na kuzunguka Hospitali ya Wilaya ya Shinyanga takribani Kilomita 30 kutoka Old-Shinyanga. Miundombinu ya umeme, maji na barabara inapatikana katika eneo hili.

Kuna jukwaa la matangazo kwanini usipeleke tangazo lako kule
 
Ukitoa wanaofanya kazi kwenye kada zifuafazo
  • Udaktari
  • Ufundi kama tanesco
  • Walimu wa vyuo vikuu na shule ya msingi
  • Polisi
  • Wanajeshi

Hawa wanatakiwa waendelee kuajiriwa kwa mfumo wa sasa kwa sababu umri unavyozidi kwenda ndo wanakua na utaalamu wa juu

Walioajiriwa kwenye kada zifuatazo wanatakiwa waajiriwe kwa mda wa miaka 10 baada ya hapo mkataba uishe waajiriwe wengine ni kama
  • TRA
  • TANROADS
  • Walimu wa secondary
  • Wafanyakazi wa wizara
  • Wafanyakazi wa bot
  • Mashirika ya Hifadhi za jamii
Tukienda kwenye careers mfano
  • Wahasibu hawa wanatakiwa kuajiriwa kwa miaka 10
  • Afisa manunuzi (procurement) hawa wanatakiwa kuajiriwa kwa miaka 10
  • HR hawa wanatakiwa kuajiriwa kwa miaka 10
  • Mwanauchumi hawa wanatakiwa kuajiriwa kwa miaka 10
Faida yake
  • Kuongeza ufanisi kuondoa ile hali ya kukaa kwenye comfort zone
Roho ya u-jobless ndo inakutesa. Na kwa mawazo hayo finyu ukiingia ofisini huna chochote productive utakacho toa
 
Ukitoa wanaofanya kazi kwenye kada zifuafazo
  • Udaktari
  • Ufundi kama tanesco
  • Walimu wa vyuo vikuu na shule ya msingi
  • Polisi
  • Wanajeshi

Hawa wanatakiwa waendelee kuajiriwa kwa mfumo wa sasa kwa sababu umri unavyozidi kwenda ndo wanakua na utaalamu wa juu

Walioajiriwa kwenye kada zifuatazo wanatakiwa waajiriwe kwa mda wa miaka 10 baada ya hapo mkataba uishe waajiriwe wengine ni kama
  • TRA
  • TANROADS
  • Walimu wa secondary
  • Wafanyakazi wa wizara
  • Wafanyakazi wa bot
  • Mashirika ya Hifadhi za jamii
Tukienda kwenye careers mfano
  • Wahasibu hawa wanatakiwa kuajiriwa kwa miaka 10
  • Afisa manunuzi (procurement) hawa wanatakiwa kuajiriwa kwa miaka 10
  • HR hawa wanatakiwa kuajiriwa kwa miaka 10
  • Mwanauchumi hawa wanatakiwa kuajiriwa kwa miaka 10
Faida yake
  • Kuongeza ufanisi kuondoa ile hali ya kukaa kwenye comfort zone
Private sector watu wanafanya kazi miaka 5 na wanaacha wanatafuta sehemu nyingine kwa nini ni ngumu kwa mashirika ya serikali kwa sababu Wafanyakazi wengi wa serikali wapo kwenye comfort zone
View attachment 3356641
Shida ya kuwa na akili za kutaka kila mtu aajiriwe na serikali ndo hizi ndo maana faida yake anayoitaja haipimiki.
 
Ili wewe uingie kwenye ualimu uibe za kutosha
Hapana mkuu mie nimewaza
Nshazoea vita vya chini ndugu yako
Mie nipo Kirando na Ally Kesi Mabodi tunavua zetu Kuhe na Mgebuka na degree zangu mbili za Kachumbari
 
Back
Top Bottom