Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
POLISI
Hawa wanafanya Mambo ya makusudi yanayochangia serikali na CCM yake kuchukiwa.
Mfano
Kubambika kesi
Kuonea upinzani
No
TRA
Hawa wanaichonganisha serikali na wafanyabiashara wanawapiga wananchi Kodi kubwa na kuwafilisi halafu Wana hapa kazi tu.
HELSB
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu Hawa wanasimamia sheria kandamizi na iliyowatia umaskini wa kutupwa watumishi wa umma .kuongeza makato toka 8% mpaka 15% tena bila kujali 1/3 ya mishahara yao.
TANESCO
Hawa wanaiondoa CCM kwa utaratibu usioepukika. Maana wanapotandaza umeme vijijini wananchi huko vijijini wanaona Mambo ambayo hapo kabla hawakuyaona pia vijijini kwasasa Kuna smartphone hivyo wanaona uonezi wote na hujuma za CCM.
TCRA
Hawa wanajidai kudhibiti habari ili tu wananchi wasiujue ukweli taarifa na media zinafanya censoring ila tafsiri wanayoipata wanachi ni kuminywa Uhuru wao.
TISS
Hawa namna wanavyoratibu Mambo mbalimbali bila weledi huifanya CCM kuchukiwa Sana pamoja na serikali yake.
TANROADS
Kuvunjia watu nyumba zao bila kuwalipa.
BoT
Wameharibu uchumi kwa kuruhusu kuingiliwa na wanasiasa.
Ongezea taasisi nyingine namna zinavyosaidia kuiondoa CCM kwenye uso wa afrika huku ukitoa maelezo yenye kueleweka.