Taasisi mbalimbali zinavyochangia kuiondoa CCM madarakani

Kusambaza umeme vijijin wakat hatuna umeme makin imekuwa n kama kujzalilisha kwa watu wa kijijin waliokuwa wanaish kwa majenereta na maisha yalkuwa poa
ccm wazingu sana walifikiri mika mitano ni mingisana
 
POLISI
Hawa wanafanya Mambo ya makusudi yanayochangia serikali na CCM yake kuchukiwa.
Mfano
Kubambika kesi
Kuonea upinzani
No

TRA
Hawa wanaichonganisha serikali na wafanyabiashara wanawapiga wananchi Kodi kubwa na kuwafilisi halafu Wana hapa kazi tu.

HELSB
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu Hawa wanasimamia sheria kandamizi na iliyowatia umaskini wa kutupwa watumishi wa umma .kuongeza makato toka 8% mpaka 15% tena bila kujali 1/3 ya mishahara yao.

TANESCO
Hawa wanaiondoa CCM kwa utaratibu usioepukika. Maana wanapotandaza umeme vijijini wananchi huko vijijini wanaona Mambo ambayo hapo kabla hawakuyaona pia vijijini kwasasa Kuna smartphone hivyo wanaona uonezi wote na hujuma za CCM.

TCRA
Hawa wanajidai kudhibiti habari ili tu wananchi wasiujue ukweli taarifa na media zinafanya censoring ila tafsiri wanayoipata wanachi ni kuminywa Uhuru wao.

TISS
Hawa namna wanavyoratibu Mambo mbalimbali bila weledi huifanya CCM kuchukiwa Sana pamoja na serikali yake.

TANROADS
Kuvunjia watu nyumba zao bila kuwalipa.

BoT
Wameharibu uchumi kwa kuruhusu kuingiliwa na wanasiasa.

Ongezea taasisi nyingine namna zinavyosaidia kuiondoa CCM kwenye uso wa afrika huku ukitoa maelezo yenye kueleweka.

TAKUKURU VIPI?
 
Sport Club ya Simba!
 
Hivi mfano tumetunga Sheria inayokataza ujenzi ndani ya hifadhi ya bara bara,

Halafu akaja mtu akajenga ndani ya hifadhi ya bara bara,

Nyumba ikipitiwa na panga atalaumu serikali au Sheria??

Wakati mwingine tujifunze kufuata taratibu tupunguze malalamishi yasiyo na tija.
Kama ndio hivyo maji,umeme,nk mliwawekea vya nini na kwa nini kabla ya mtu kujenga msingezuia mnasubiria mtu ajenge akae hapo miaka ishirini mnasema hifadhi ya barabara [emoji56][emoji848]
 
Back
Top Bottom