Mpini wameshika wao mkuu kaitamarogoHuu uzi moderator wajinga wataufuta
Jisemee wewe baba ako Mama ako na mmeo."Hatuwezi kuchagua mbeligiji Sisi na katika Jimbo letu hatupo tayari Tena kuchagua mbunge anaeshiriki mapenzi ya jinsia moja" Bibi Zima halina hata mme Wala mtoto wa kuzingiziwa never!
Hivi ni lazima ulete mada JF?POLISI
Hawa wanafanya Mambo ya makusudi yanayochangia serikali na CCM yake kuchukiwa.
Mfano
Kubambika kesi
Kuonea upinzani
No
TRA
Hawa wanaichonganisha serikali na wafanyabiashara wanawapiga wananchi Kodi kubwa na kuwafilisi halafu Wana hapa kazi tu.
HELSB
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu Hawa wanasimamia sheria kandamizi na iliyowatia umaskini wa kutupwa watumishi wa umma .kuongeza makato toka 8% mpaka 15% tena bila kujali 1/3 ya mishahara yao.
TANESCO
Hawa wanaiondoa CCM kwa utaratibu usioepukika. Maana wanapotandaza umeme vijijini wananchi huko vijijini wanaona Mambo ambayo hapo kabla hawakuyaona pia vijijini kwasasa Kuna smartphone hivyo wanaona uonezi wote na hujuma za CCM.
TCRA
Hawa wanajidai kudhibiti habari ili tu wananchi wasiujue ukweli taarifa na media zinafanya censoring ila tafsiri wanayoipata wanachi ni kuminywa Uhuru wao.
TISS
Hawa namna wanavyoratibu Mambo mbalimbali bila weledi huifanya CCM kuchukiwa Sana pamoja na serikali yake.
TANROADS
Kuvunjia watu nyumba zao bila kuwalipa.
BoT
Wameharibu uchumi kwa kuruhusu kuingiliwa na wanasiasa.
Ongezea taasisi nyingine namna zinavyosaidia kuiondoa CCM kwenye uso wa afrika huku ukitoa maelezo yenye kueleweka.
Utakuwa unapigwa mziz na pornstar by the way wew na pornstar mtanyooka tu muda ukifika"Hatuwezi kuchagua mbeligiji Sisi na katika Jimbo letu hatupo tayari Tena kuchagua mbunge anaeshiriki mapenzi ya jinsia moja" Bibi Zima halina hata mme Wala mtoto wa kuzingiziwa never!
Umesahau PCCB Mkuu. Hawa waliosema suala la wala Rushwa wamewaachia Chama cha MapinduziPOLISI
Hawa wanafanya Mambo ya makusudi yanayochangia serikali na CCM yake kuchukiwa.
Mfano
Kubambika kesi
Kuonea upinzani
No
TRA
Hawa wanaichonganisha serikali na wafanyabiashara wanawapiga wananchi Kodi kubwa na kuwafilisi halafu Wana hapa kazi tu.
HELSB
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu Hawa wanasimamia sheria kandamizi na iliyowatia umaskini wa kutupwa watumishi wa umma .kuongeza makato toka 8% mpaka 15% tena bila kujali 1/3 ya mishahara yao.
TANESCO
Hawa wanaiondoa CCM kwa utaratibu usioepukika. Maana wanapotandaza umeme vijijini wananchi huko vijijini wanaona Mambo ambayo hapo kabla hawakuyaona pia vijijini kwasasa Kuna smartphone hivyo wanaona uonezi wote na hujuma za CCM.
TCRA
Hawa wanajidai kudhibiti habari ili tu wananchi wasiujue ukweli taarifa na media zinafanya censoring ila tafsiri wanayoipata wanachi ni kuminywa Uhuru wao.
TISS
Hawa namna wanavyoratibu Mambo mbalimbali bila weledi huifanya CCM kuchukiwa Sana pamoja na serikali yake.
TANROADS
Kuvunjia watu nyumba zao bila kuwalipa.
BoT
Wameharibu uchumi kwa kuruhusu kuingiliwa na wanasiasa.
Ongezea taasisi nyingine namna zinavyosaidia kuiondoa CCM kwenye uso wa afrika huku ukitoa maelezo yenye kueleweka.
Ni lazima ucomment??Hivi ni lazima ulete mada JF?
Hivi kwa mfano tumeaamua kuwa na katiba inayo taka tuwe na vyama vingi vya siasa .Halafu mtu mmoja ana ibuka na kusema hataki upinzani na kuapa kuuangamiza .huyo mtu tukimkataa ni vibaya?Hivi mfano tumetunga Sheria inayokataza ujenzi ndani ya hifadhi ya bara bara,
Halafu akaja mtu akajenga ndani ya hifadhi ya bara bara,
Nyumba ikipitiwa na panga atalaumu serikali au Sheria??
Wakati mwingine tujifunze kufuata taratibu tupunguze malalamishi yasiyo na tija.
.Jisemee wewe baba ako Mama ako na mmeo.
Sio kuusemea umma wa Watanzania.