Taasisi mbalimbali zinavyochangia kuiondoa CCM madarakani

Mm sijapata jibu njia gani huyu mtu anatumia kujaza watu wakati sioni matangazo tokaa vyombo vya habari vipeperushi, magazeti,....?!
 
Tokeni tumewachoka hamna manufaa yoyote kwa wa tz tunataka tubadili uelekeo kutafuta uangalau wa maisha TUME WACHOKA FISIEMU ANZENI KUCHUKUA VILIVYO VYENU ILA MTUWCHIE AMANI YA NCHI YETU MSI TUINGIZE KWENYE MATATIZO wa tz tume wachoka na huo ndio ukweli
 
Hao wote unawaonea tu.

Mengi wanayoyafanya , wanayafanya kwa kupata maelekezo kutoka juu.
 
Meko amedhalilisha sana kiti na nchi kwa maneno na vitendo vyake , mpaka majirani wakasusa kuja kuzika.
 

Taasisi nyingine ni hizi

MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
Inadhulumu wanachama kwa kuwanyima mafao ya kupoteza ajira na kuchelewesha malipo kwa wastaafu na wanufaika wengine

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA
NHIF imekuwa kikwazo kwa watoa
huduma na wanachama wa mfuko kutokana na kuwakata malipo yao kwa visingizio vya "kijingaa" na kupanga bei elekezi zisizo na tija kwa watoa huduma na wanachama.
 
Wacha ccm iondoke mapema sana tumechoka.
 
C C M
CCM yenyewe kupitia mwenyekiti wao anathubutu kuwaambia watanzania kuwa majina ya wagombea wao wa ubunge na udiwani tumeyapitia kwa KINA!
Hivi wewe mwenyekiti ni raisi wa nchi hii unajuwa maana ya neno yKINA halafu unatuletea jina la GWAJIMA
Hicho KINA Cha safari hii kinaelekea ni made in CHATO
 
1.Passport yangu inaisha 2025 nimezuiwa kusafiri nikaambiwa nilazima niwe na pasport mpya kupata mpya bei ni kubwa na vikwazo kibao
2.Line yangu ya simu ilifungiwa nikasajili kwa kitambulisho cha uraia wakaifungua lakini Tigo pesa wakalala nayo mbele hadi leo siwezi kutuma wala kupoke pesa,Nilienda hadi Tigo offin kwao wakaniambi sio wao hata wao wakashangaa
3.Walituambia tusajili line kwa alama za vidole kuzuia matapeli wa mtandaoni lakini msg za tuma kwenye namba hii kila siku zinaongezeka
 

Umeongea kitu muhimu sana, "kufata taratibu". Wewe kwa akili yako timamu mwananchi anajenga nyumba kuanzia msingi mpaka anamaliza kujenga, anavutiwa umeme kutoka TANESO, maji kutoka DAWASCO, na anahamia anaishi kwa miaka kadhaa, wanaandikishwa kupiga kura na watia nia wanapita kwake kupiga kampeni, bila ya kufata taratibu na wawakilishi wa.Serikali bado wanamtizama tu?

Hapo ndio ukuwe kuna uozo katika mfumo wa uendeshaji katika Serikali yetu. Wajumbe, Wenyeviti wanafanya kazi gani ikiwa hawajui au kuona na kuyafuatilia yanayoendelea mitaani kwao? Kuna uwezekano mkubwa tu kwamba hiyo mipango ya kutanuwa barabara illikuwa haipo kiuhalisia imeibuka ghafla tu.
 
National Investments Company Limited (NICOL) baada ya Serekali kumuondoa mzee Mosha alikua chairman wakachukuo ungozi wenyewe sijawai pata gawio huu mwaka tano hata office awajulikani walipo utapeli mtupu watu wote wenye share NICOL tusiwaigie kura CCM
 
"Hatuwezi kuchagua mbeligiji Sisi na katika Jimbo letu hatupo tayari Tena kuchagua mbunge anaeshiriki mapenzi ya jinsia moja" Bibi Zima halina hata mme Wala mtoto wa kuzingiziwa never!
Neno "Kuzingiziwa" wanalitamka Waha, na hakuna Muha mpumbavu wa kiwango chako, wewe ni Mrundi.
 
Kusambaza umeme vijijin wakat hatuna umeme makin imekuwa n kama kujzalilisha kwa watu wa kijijin waliokuwa wanaish kwa majenereta na maisha yalkuwa poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…