Unajua kazi ya jwtz!?Mi naona kama lawama zimekua nyingi kwa kiasi hiki kwa hili jeshi la polisi,lingevunjwa na JW kama ulivyowasifia hapo kwenye bandicoot,wachukue kazi ya polisi,kwasababu ni weledi sana katika matendo yao.
Hata baadhi ya askari wa JW wanaosadikika kuhusika katika utendaji wa kosa la kubaka na kulawiti,itakua ni polisi tu.
Kazi zinaweza kubadilishwa..kuna shida? Kwani wanamtumikia nani..Unajua kazi ya jwtz!?
JESHI LA POLISI LA TANZANIA LINAFANYA KAZI KAMA MAFIA, SIYO USALAMA WA RAIA. KUSEMA MAFIA NI KAMA KUWAPA HESHIMA, MAANA MAFIA HUWA KWANZA WANAFANYA KWA MASLAHI YALIYO KWELI ILA BILA KUFUATA SHERIA, POLISI WA TANZANIA NI GENGE LA KIHUNI, MKUSANYIKO WA WAHUNI, YAANI HOOLIGANISM NA CORRUPT TO THE CORE, SIONI TOFAUTI KUBWA NA LILE JESHI LA KABURU LA AFRICA KUSINI ZAMA ZILE. HUU USHENZI UKOMESHE. WE NEED RULE OF LAW.Maadili Matendo na hata matamko ya Jeshi la Polisi Tanzania hivi karibuni vimeonyesha wazi kuwa Jeshi hili lenatikiwa sio kufanyiwa reforms bali kuundwa upya (kama JW ilivyoundwa upya 1964.) Ukatili, rushwa, Ushirikiano na waalifu, Upendeleo na kujiingiza kwenye siasa, Undugunization, kutokujua hata maelekezo ya kazi zao niwa viwango vya kutisha! Sijui Tume ya Haki Jinai inasema nini kuhusu Taasisi hii lakini kuireform hawezekani tena. Uundwaji upya uanzie kwenye recruitment, vyuo vya polisi... mpaka tathmini ya maofisa wa ngazi za juu!
Unajua Kwa huu mwaka hata ambao tulikua hatuijui siasa tumeijua kua Ni Zaidi dirty games zingine yaani tumeona wazi haki ikipeperushwa ndo misimu tulioshuhudia undava ukimaliza nchi yetu tunabaki kuangalia kwasababu hatuna pakusemea woga umetukumba tumenyimwa kujiamn la msingi kutafta nauli tukaanze generation zingine mbaliiiii huko ila for this time usishangae soon defenda inatua mtaanMaadili Matendo na hata matamko ya Jeshi la Polisi Tanzania hivi karibuni vimeonyesha wazi kuwa Jeshi hili lenatikiwa sio kufanyiwa reforms bali kuundwa upya (kama JW ilivyoundwa upya 1964.) Ukatili, rushwa, Ushirikiano na waalifu, Upendeleo na kujiingiza kwenye siasa, Undugunization, kutokujua hata maelekezo ya kazi zao niwa viwango vya kutisha! Sijui Tume ya Haki Jinai inasema nini kuhusu Taasisi hii lakini kuireform hawezekani tena. Uundwaji upya uanzie kwenye recruitment, vyuo vya polisi... mpaka tathmini ya maofisa wa ngazi za juu!