Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imetangaza kutoa matibabu bure ya moyo kwa Wasanii wa Tanzania

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza huduma ya kuwapima moyo na kuwapa matibabu bure Wasanii wa Tanzania ili kuwasaidia kuokoa maisha yao.

Akiongea leo December 13,2024 Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge amesema wametoa huduma hiyo kwa ajili ya kuokoa Wasanii wengi wanaopata maradhi moyo na kushindwa kupima mapema hivyo kubaini wanaugua kwa kuchelewa na kupelekea gharama za matibabu kuwa kubwa au hata kuhatarisha maisha yao.

“Mh. Rais ametutaka tuwafikie Wasanii na Watu mbalimbali kwa kuwapima kwa punguzo na tumeamua katika Clinic yetu ile ambayo ipo pale Kawe siku za Jumamosi na Jumapili tutatoa matibabu bure kwa Wasanii, bure unakuja unapimwa unachekiwa ili kugundua kama una shida, afya ndio kitu cha msingi, hatutaki tusikie Msanii ameanguka akiwa anaimba hatutaki, tukigundua una shida ya afya tunakuambia ufanye hivi na hivi na lakini Wasanii ni kioo cha Jamii mtatusaidia kuwaeleza Watu kuhusu magonjwa haya yasiyoambukiza”

“Nawaomba Wasanii mjiunge na Vyama vya Wasanii mkishajiunga tutawasiliana na Viongozi watawapa kadi maalum ambazo mkizitumia mtakuwa mnapata punguzo la bei, kuna wengine hawana bima kwahiyo inakuwa rahisi, ila tumieni siku za Jumamosi na Jumapili kupima bure na kupata matibabu bure”

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Taasisi ya Mamw Ongea na Mwanao, Steve Nyerere akiongea kwa niaba ya Wasanii ameushukuru Uongozi wa Muhimbili pamoja na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwa kujua umuhimu wa Wasanii wa Filamu na kuamua kuwashika mikono kwenye kuokoa maisha yao “Sisi tunapima vinywaji tu vinavyolewesha, vinavyoongeza nguvu za kiume lakini kupima moyo na kupima afya tunashindwa, tunapoteza nguvu kazi ya Taifa, kujigundua afya sio kufa inasaidia kuishi kwa umakini”
Screenshot 2024-12-14 014548.png
 
Walipa kodi wengine vvip wengine. Muendelezo wa ubaguzi kama kuanzia ofisi ya kodi ya watu maalum. Upuuzi mwingine huu na maamuzi ya kukurupuka. Hadi October 2025 tutashuhudia mengi ikiwemo watekaji kupewa zawadi hadharani na wake zao kurithi kazi zao.
 
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza huduma ya kuwapima moyo na kuwapa matibabu bure Wasanii wa Tanzania ili kuwasaidia kuokoa maisha yao.

Akiongea leo December 13,2024 Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge amesema wametoa huduma hiyo kwa ajili ya kuokoa Wasanii wengi wanaopata maradhi moyo na kushindwa kupima mapema hivyo kubaini wanaugua kwa kuchelewa na kupelekea gharama za matibabu kuwa kubwa au hata kuhatarisha maisha yao.

“Mh. Rais ametutaka tuwafikie Wasanii na Watu mbalimbali kwa kuwapima kwa punguzo na tumeamua katika Clinic yetu ile ambayo ipo pale Kawe siku za Jumamosi na Jumapili tutatoa matibabu bure kwa Wasanii, bure unakuja unapimwa unachekiwa ili kugundua kama una shida, afya ndio kitu cha msingi, hatutaki tusikie Msanii ameanguka akiwa anaimba hatutaki, tukigundua una shida ya afya tunakuambia ufanye hivi na hivi na lakini Wasanii ni kioo cha Jamii mtatusaidia kuwaeleza Watu kuhusu magonjwa haya yasiyoambukiza”

“Nawaomba Wasanii mjiunge na Vyama vya Wasanii mkishajiunga tutawasiliana na Viongozi watawapa kadi maalum ambazo mkizitumia mtakuwa mnapata punguzo la bei, kuna wengine hawana bima kwahiyo inakuwa rahisi, ila tumieni siku za Jumamosi na Jumapili kupima bure na kupata matibabu bure”

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Taasisi ya Mamw Ongea na Mwanao, Steve Nyerere akiongea kwa niaba ya Wasanii ameushukuru Uongozi wa Muhimbili pamoja na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwa kujua umuhimu wa Wasanii wa Filamu na kuamua kuwashika mikono kwenye kuokoa maisha yao “Sisi tunapima vinywaji tu vinavyolewesha, vinavyoongeza nguvu za kiume lakini kupima moyo na kupima afya tunashindwa, tunapoteza nguvu kazi ya Taifa, kujigundua afya sio kufa inasaidia kuishi kwa umakini”
View attachment 3176200
Wamefeli sanasana badala ya kutangaza wahitaji wasio na uwezo wao wanataka watu maarufu
 
Hahaha hao watu ni maarufu kwa nani? na ni maarufu wapi? Na ndio kina nani, watuambie ili tuwafahamu, na nini umaarufu wao.

Make hata nambii Tito ni maarufu nandhani? Wasije kutumia kodi zetu kutibu MASHOGA maarufu.
 
Hivi wanajua vizuri maana ya msanii? Kila mtu ni msanii duniani kulingana na shughuli zake na maisha yake ya Kila siku katika jamii .
 
Kwanini hawakulenga wahitaji zaidi Ambao hawajawahi kupata hata mil 1

Sijui nani amefikiria hili jambo

Mfano wasanii wanapata hela Ila wanaendekeza pombe ,uzinzi na madawa then serikali ndo inabidi Ku-cover matibabu yao.

Kwanini wasiweke mipango imara ya hao wasanii kunufaika na kazi zao za sanaa hata kipindi wakiwa hawana fame (umaarufu)

In short hilo wazo ni kuelekea 2025 na mtaji mkubwa ni kuwatumia hao jamaa kukusanya watu.
 
Hiyo karata ya wasanii imechezwa makusudi ili ije kuwaokoa 2025 shtukeni!

Jiulize kwanini ni ofa kwa wasanii tu na sio kundi la watu wenye mahitaji maalum kama wazee, walemavu, watoto na wanawake?

WASANII NI WASALITI WA HII NCHI
 
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza huduma ya kuwapima moyo na kuwapa matibabu bure Wasanii wa Tanzania ili kuwasaidia kuokoa maisha yao.

Akiongea leo December 13,2024 Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge amesema wametoa huduma hiyo kwa ajili ya kuokoa Wasanii wengi wanaopata maradhi moyo na kushindwa kupima mapema hivyo kubaini wanaugua kwa kuchelewa na kupelekea gharama za matibabu kuwa kubwa au hata kuhatarisha maisha yao.

“Mh. Rais ametutaka tuwafikie Wasanii na Watu mbalimbali kwa kuwapima kwa punguzo na tumeamua katika Clinic yetu ile ambayo ipo pale Kawe siku za Jumamosi na Jumapili tutatoa matibabu bure kwa Wasanii, bure unakuja unapimwa unachekiwa ili kugundua kama una shida, afya ndio kitu cha msingi, hatutaki tusikie Msanii ameanguka akiwa anaimba hatutaki, tukigundua una shida ya afya tunakuambia ufanye hivi na hivi na lakini Wasanii ni kioo cha Jamii mtatusaidia kuwaeleza Watu kuhusu magonjwa haya yasiyoambukiza”

“Nawaomba Wasanii mjiunge na Vyama vya Wasanii mkishajiunga tutawasiliana na Viongozi watawapa kadi maalum ambazo mkizitumia mtakuwa mnapata punguzo la bei, kuna wengine hawana bima kwahiyo inakuwa rahisi, ila tumieni siku za Jumamosi na Jumapili kupima bure na kupata matibabu bure”

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Taasisi ya Mamw Ongea na Mwanao, Steve Nyerere akiongea kwa niaba ya Wasanii ameushukuru Uongozi wa Muhimbili pamoja na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwa kujua umuhimu wa Wasanii wa Filamu na kuamua kuwashika mikono kwenye kuokoa maisha yao “Sisi tunapima vinywaji tu vinavyolewesha, vinavyoongeza nguvu za kiume lakini kupima moyo na kupima afya tunashindwa, tunapoteza nguvu kazi ya Taifa, kujigundua afya sio kufa inasaidia kuishi kwa umakini”
View attachment 3176200
Hili Li nchi hailina vipaumbele, why waangaike na mijitu inayoua organ zao Kwakutaka sifa za unywaji wa mapombe usio faa.
 
Peter Kisenge tangu ameokota uongozi wa JKCI toka kwa Pro Janabi amekuwa mtu wa kiki tuu hatulii kwenye kitengo kila siku safarini.
Huduma pale JKCI zimezorota sana unafika saa tisa usiku unatoka saa tano bila hata vipimo,Ukiwa navyo Mungu akuhurumie.
Ukienda pharmacy ndio utalia sii chini ya saa moja unasubiri dawa.
Madaktari bora kawatimulia dispensary mfu ya Kawe huku pale Muhimbili unakaa saa mbili kumsubiri Daktari unaishia kubadilishiwa Daktari unaanza saa mbili zingine.
Kisenge apunguze shobo za safari za nje ya nchi.
 
Eti wasani kioo cha nini sijui labda kwako...
Wasanii wasaniii

Ova
 
Peter Kisenge tangu ameokota uongozi wa JKCI toka kwa Pro Janabi amekuwa mtu wa kiki tuu hatulii kwenye kitengo kila siku safarini.
Huduma pale JKCI zimezorota sana unafika saa tisa usiku unatoka saa tano bila hata vipimo,Ukiwa navyo Mungu akuhurumie.
Ukienda pharmacy ndio utalia sii chini ya saa moja unasubiri dawa.
Madaktari bora kawatimulia dispensary mfu ya Kawe huku pale Muhimbili unakaa saa mbili kumsubiri Daktari unaishia kubadilishiwa Daktari unaanza saa mbili zingine.
Kisenge apunguze shobo za safari za nje ya nchi.
Safari za nje zinaposho nzuri ndiyo maana anazipenda.
 
Wasanii ni muhimu kwa serikali kuliko wananchi sababu hutumika kwenye kampeni si unajua uchaguzi unakaribia
 
Hao wasanii wanauwezo wa kulipia matibabu. Waanze na masikini
 
Back
Top Bottom