Taasisi ya sayansi na ya kijeshi yalipuliwa Tel aviv

Taasisi ya sayansi na ya kijeshi yalipuliwa Tel aviv

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
695
Reaction score
1,817
Taasisi ya sayansi inayoshirikiana na Jeshi ambalo pia ina mafungamano na shirika la ujasusi la Mossad Weizzman institute of science ambayo imejikita kwenye utafiti ,utengenezaji wa silaha,
Artificial intelligence nk imeshambuliwa na kuteketea

1750169184567.jpg
Screenshot_20250617_170547_Chrome.jpg
 
Ndio mana Trump kaahirisha kikao cha G7 kwa kweli shoga yake SHETANYAHU anahemea mashine
 
Back
Top Bottom