School-Datamanager
New Member
- May 12, 2022
- 2
- 0
Habari zenu wadau. Natumain hamjambo na mnaendelea vyema na majukumu yenu kujikwamua kiuchumi.
Declaration of interest
Niweke wazi kwamba mimi ni mdau na mpenzi wa technology kwa maana ya kusomea na katika kutendea kazi. Lakin pia nimekua mdau wa elimu kutokana kuutumia muda mwingi katika kuangazia na kutatua changamoto katika sekta hii (hasa kweye eneo la utunzaji na udhibiti wa Data) mashuleni kwa ku propose na ku design different sophiscated software solutions kwa taasisi nyingi ambazo nimefanya nao kazi kuanzia Kampuni binafsi za kibiashara lakini Zaidi Taasisi binafsi za Kielimu,mikoa mingi tofauti hapa Nchini Tanzania.
Nimekua niki interact na watumishi wa sekta hii lakini pia wamiliki na wasimamizi wa mashule (hasa binafsi) uliachilia mbali mimi pia kama mzazi ninayesomesha Watoto.Hivyo kwa kifupi nimekua in touch sana na wadau wa elimu toka pande karibia zote na kusikia maoni yao ambayo mengi nimekua nikiyafanyia kazi. Mtanisamehe kwakua sio mzoefu sana kivile katika maandishi.
Twende kwenye mada
Kwa kiwango kikubwa mfumo wetu wa elimu (nazungumzia Tanzania) unaendeshwa kizamani sana hasa kwenye enoe la Data Management,ukilinganisha na nchi nyingi zilizopiga hatua kimaendeleo na kitaaluma pia. Japo kwasasa ubora na upatikanaji wa huduma za elimu ume improve ukilinganisha na ilivyokuwa hapo nyuma nchini, (shukrani kwa serikali kushirikisha wadau binafsi/private sector) bado kuna changamoto ambazo ni muhimu sana kufanyiwa kazi ili kuenenda na hali ya mabadiliko ya kiteknolojia ili kukidhi mahitaji ya kijamii na mfumo mzima wa maisha ya sasa hasa ukizingatia kuwa licha ya elimu kuwa huduma lakini pia ni biashara.
Kuna changamoto nyingi sana za mashuleni linapokuja suala la Data management, lakini leo nitaangazia hizi 2 tu:
Leo hii ni ngumu sana kwa wewe (msomaji) na almost haiwezekani kurudi shuleni uliposoma na ukaweza kupata taarifa zako zote kwa kipindi ulichokuwepo hapo shuleni. Iwe ni shule ya msingi au sekondari. Zaidi Zaidi taarifa taarifa pekee ambazo unaweza kuzipata ni zile ambazp shule iliwasilisha wizarani (necta au zile za baraza la mitihani). Lakini ni ngumu sana kupata taarifa zako (academic progress package) katika ngazi ya shule.
Na kutokana na ukweli kwamba shule nyingi binafsi hubadili waalimu after sometimes (hire and fire), imekuja kuwa Dhahiri kwamba upatikani wa taarifa kumuhusu mwanafunzi baada ya mwalimu kuhama au kuondoka hutegemea sana busara ya mwalimu husika kukabidhi taarifa hizo kwa uongozi wa shule vinginevyo akiondoka au kuhama basi kila taarifa aliyokua akishughulika nayo pia itahama na kutoonekana.
Kwanini? Kwasababu katika shule nying hakujawekwa mfumo maalumu (systems) wa kutunza taarifa ambao hautategemea uwepo wa mtu.
Sasa unajiuliza, THIS IS AN ACADEMIC INSTITUTION, HOW COME IT LACKS PROPER WAYS TO KEEP TRACK OF ACADEMIC DATA? Na wamiliki au wasimamizi wa shule (private schools mainly) kwakua all they care about is money, wamejikuta hiki sio kitu muhimu sana kwao.
Mostly wanachofanya waalimu shuleni ni kuwapima Watoto kwa mitihani kisha kuisahisha na kutoa matokeo lakini utunzanji wa records utadumu mpaka pale wanafunzi watakapopewa academic reports then imeisha hiyo. Hata ukichukulia mfano tu wa mwanao leo ambaye yuko darasa la 5, fika shuleni ukaombe rekodi zake za Darasa la Kwanza uone kama utazipata.
HALI NI MBAYA ZAID KWA SHULE ZA SERIKALI,mbaya sana.
UPATIKANAJI WA TAARIFA SAHIHI NA KWA WAKATI
Kutokana na utunzaji mbovu wa taarifa shuleni, taarifa nyingi pindi zanapohitajika huwa zinakua sio sahihi. Nyingi ni za kupika mfano pindi inatokea mtoto anahama na inapaswa ajaziwe record za nyuma. Lakini hata hizo chache zinazokuwa zimetunzwa , upatikanaji wake unakua sio wa wakati na rahis kwakua taarifa hiz hutunzwa kwenye physical files au textbooks.
Hali hii inamuathiri hata mzazi kama mdau na mteja kwakua ia hajengewi mazingira rafii yay eye kuzipata taarifa za maendeleo ya mwanaye muda wowote atakaojisikia mpaka alazimike kwenda shuleni na huko shuleni mpaka aonane na mwalimu husika hivyo kama hatakuwepo basi hatapata alichokusudia. Sasa katika aspect ya biashara , hapa mteja anakuwa treated kana kwamba hana umuhimu wakati angaweza kuwekewa namna ya kuzipata taarifa zote popote alipo
Utunzaji huu wa taarifa hufanya zoezi la uchambuzi na upembuzi wa rekodi (analysis) kuwa almost huwezekani hivyo shule kujikuta kutokuwa na uwezo ku determine/ ku predict kiwango cha ufaulu kwa mwaka huo BASING ON DATA facts,hivyo mpaka msubiri matokeo yatoke ndio shule iwe kwenye position ya kujua. So matokeo kwao pia huja as a surprise like to every other person. Hii ni kutokana na ukwel kwamba shule zinakosa a proper way (systems) to digest and analyse daily performance data ili kukupa picha ya kile unachoweza kutajia kwakua kazi ya mifumo,mojawapo ni kufanya analysis inayokupa way forward where are you heading.
MWISHO
Ni wakati sahihi sasa kwa wamiliki wa shule na serikali pia kama wasimamizi, kuwa na utaratibu wa kisasa ku manage taarifa kwa matumizi mbali mbali na uboreshaji wa kuendesha taasisi kwa manufaa Zaidi. Na ili kufanikiiwa kwenye hili ni muhimu sana ku employ technological solutions kusaidia hili. Ahsanteni.

- Utunzanji sahihi wa taarifa
- Upatikanaji wa taarifa sahihi na kwa wakati