Uchaguzi 2020 Taasisi za Kimataifa zatoa tafiti zao kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020

Kama ambavyo huwa wanafanya katika nyakati zote

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali hili. Kama hawa CCM huwa wanatangaza tu majina. Je basi CCM hujisahau na kutangaza majina ya WABUNGE wa vyama vya UPINZANI bila kujua?
Maana wako Bungeni.
Na kama ni hivyo basi CCM ni wa kuhurumia sana. Maana wanajisahau na kutanga majimbo ya ushindi kwa wapinzani
Au vipi?
 
......bado CCM itapata ushindi mkubwa sana na hivyo kuifanya Tanzania kubaki nchi iliyo na Stability/AMANI kwa miaka mingi ijayo.

Kushinda kwa CCM sio determination ya Amani ya nchi!

Kwa sababu zifuatazo;
1. Ushindi wa CCM huwa si kwa matokeo ya wapiga kura ila wao (CCM) Kuiba kura!

2. Mtaji mkubwa wa ushindi wao CCM ni ujinga wa wapiga kura ambao hudanganywa kwa inhumanity items/ thing ambavyo kwa sio hitaji muhimu kwa mwanandamu mfano kumdanganya mwananchi mpiga kura kwa kumtunuku kofia!

3. Matumizi ya mabavu/Dola katika chaguzi ili kukipa favour chama cha CCM!

Conclusion:
Kwa hoja hizo sioni mwanga wa amani ya nchi kutoka na CCM kushinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutangaza baada ya kuona kuwa wamesha fanya double standards kubwa mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hearly, umeshaona wakati hata timu ya mpira inaposhindwa watu kusema REFA KATUONEA
Mwafrika kukubali ameshindwa huwaga ni msamiati kwake.
Hata uchaguzi ana behave the same
 
Twilumba, nashukuru kwa maelezo yako.
1.Kuhusu hoja yako ya No1. ni kuwa Je wale wabunge waliomo Bungeni wa vyama vya upinzani je WALIPEWA ubunge na CCM BURE tu wakati CCM wakiwa wamechoka?
Badala ya kuiba wakajikuta wameibia CCM na kuwatipa WAPINZANI?

2.Kama CCM hudanganya kwa nini upinzani nao hawadanganyi? Kumbuka siasa ni siasa. nI lazima ujue kuzungumza na wapiga Kura.

3.Matinmizi ya MBAVU si kweli. SIJAONA vikosi vya ULINZI na USALAMA vikiingia kwenye chumba cha kupigia kura na kumwambia mpiga kura apigie CCM.
Kwa hiyo mkuu hizoni POROJO za mitaani
 
Kinacho determine STABILTY na AMANI ni chaguo la watu and nothing else!
 
Hakuna utafiti usioeleza sababu za matokeo kwa kina.Peleka Lumumba huo upuuzi.
 
Hivi hawa walizungumzia juu ya uchaguzi wa urais zanzibar mwaka 2015 kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nina swali.Je hawa wabunge wa upinzani waliimgiaje bungeni.
Je ni CCM iliwaweka kama boya?
Ukinijibu hapo utakuwa umepata jibu kuwa dhana yako si ya kweli.

Unaujua ukweli wa yaliyotokea, kama huujui basi fuatilia kwa makini uchaguzi wowote utakaokuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…