hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Kama ambavyo huwa wanafanya katika nyakati zoteMagufuli na CCM watashinda kwa uchaguzi wa kutangazwa na siyo wa kuchaguliwa na wananchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ambavyo huwa wanafanya katika nyakati zoteMagufuli na CCM watashinda kwa uchaguzi wa kutangazwa na siyo wa kuchaguliwa na wananchi.
HahaaTuwekee link sio upuuzi uliotumwa na slow slow kutoka kwenye bichwa lake
HahaaWe msiba acha uongo! mod nao wanafuta nyuzi za maana wanaacha upupu kama huu
Wekeni source ya hiyo Habari " Acheni kutuletea porojo humu " Hii sio facebookKuna nini? Acha kulalamika,huo ndo ukweli uncle magufuli hakamatiki na huenda akaongezewa miaka hadi 2030,wapinzani mtapata presha,viva magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali hili. Kama hawa CCM huwa wanatangaza tu majina. Je basi CCM hujisahau na kutangaza majina ya WABUNGE wa vyama vya UPINZANI bila kujua?
Jibu swali hili. Kama hawa CCM hutangazaga tu majina. Je hujisahau na kutangaza majina ya WABUNGE wa vya ma vya UPINZANI pia?
......bado CCM itapata ushindi mkubwa sana na hivyo kuifanya Tanzania kubaki nchi iliyo na Stability/AMANI kwa miaka mingi ijayo.
Mkuu are you sure?Hutangaza baada ya kuona kuwa wamesha fanya double standards kubwa mnoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hearly, umeshaona wakati hata timu ya mpira inaposhindwa watu kusema REFA KATUONEAHutangaza baada ya kuona kuwa wamesha fanya double standards kubwa mnoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa umeanza kuleta masimulizi sasaMkuu hearly, umeshaona wakati hata timu ya mpira inaposhindwa watu kusema REFA KATUONEA
Mwafrika kukubali ameshindwa huwaga ni msamiati kwake.
Hata uchaguzi ana behave the same
Twilumba, nashukuru kwa maelezo yako.Kushinda kwa CCM sio determination ya Amani ya nchi!
Kwa sababu zifuatazo;
1. Ushindi wa CCM huwa si kwa matokeo ya wapiga kura ila wao (CCM) Kuiba kura!
2. Mtaji mkubwa wa ushindi wao CCM ni ujinga wa wapiga kura ambao hudanganywa kwa inhumanity items/ thing ambavyo kwa sio hitaji muhimu kwa mwanandamu mfano kumdanganya mwananchi mpiga kura kwa kumtunuku kofia!
3. Matumizi ya mabavu/Dola katika chaguzi ili kukipa favour chama cha CCM!
Conclusion:
Kwa hoja hizo sioni mwanga wa amani ya nchi kutoka na CCM kushinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli mkuu.
Kinacho determine STABILTY na AMANI ni chaguo la watu and nothing else!Kushinda kwa CCM sio determination ya Amani ya nchi!
Kwa sababu zifuatazo;
1. Ushindi wa CCM huwa si kwa matokeo ya wapiga kura ila wao (CCM) Kuiba kura!
2. Mtaji mkubwa wa ushindi wao CCM ni ujinga wa wapiga kura ambao hudanganywa kwa inhumanity items/ thing ambavyo kwa sio hitaji muhimu kwa mwanandamu mfano kumdanganya mwananchi mpiga kura kwa kumtunuku kofia!
3. Matumizi ya mabavu/Dola katika chaguzi ili kukipa favour chama cha CCM!
Conclusion:
Kwa hoja hizo sioni mwanga wa amani ya nchi kutoka na CCM kushinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Then agree kwamba CCM siyo chaguo la watu isipokuwa wizi wa kura!Kinacho determine STABILTY na AMANI ni chaguo la watu and nothing else!
wananchi hawawezi kuwachagua watu wenye familiaMagufuli na CCM watashinda kwa uchaguzi wa kutangazwa na siyo wa kuchaguliwa na wananchi.
Dunia inafika mwishohafiki 2020
Hivi hawa walizungumzia juu ya uchaguzi wa urais zanzibar mwaka 2015 kweli?Habari za utafiti wa hivi karibuni toka shirika amaTaasisi ya kimataifa ya Intelijensia ya Kiuchumi/ Economist Intelligence Unit/EIU lenye makao yake makuu jijini London Uingereza, limetoa matokeo yake ya kitafiti kuhusu UCHAGUZI ujao wa 2020 wa Tanzania.
Taasisi hiyo ya kimataifa ambayo ndo think tank kuu ya mambo ya kimataifa katika Nyanja za KISIASA, KIUCHUMI n.k.imetoa utafiti wake.
Miongoni mwa kazi zake kuu ni kufanya Utafiti/Research na ANALYSIS/ UCHAMBUZI ili kupata MATOKEO/ PROJECTION za nchi mbali mbali kuhusu Siasa na Uchumi na hivyo kubashiri wakiwa wamelenga shabaha kabisa/ Accuracy katika ubashiri wao.
Kulingana na Tafiti na Chambuzi zake za hivi karibuni zinazohusu uchaguzi wa Tanzania wa mwaka ujao wa 2020,
Rais Magufuli anategemewa kuchaguliwa tena kwa kura nyingi sana kuliko uchaguzi uliopita wa mwaka 2015.
Tafiti zao zinaonyesha pia kuwa, chama cha CCM kitachukua viti vingi sana vya UBUNGE na hivyo kuvinyima vyama vya upinzani nafasi nyingi za UBUNGE.
Tafiti zinasema pamoja na kuwa vyama vya upinzani vimejaribu sana bado CCM itapata ushindi mkubwa sana na hivyo kuifanya Tanzania kubaki nchi iliyo na Stability/AMANI kwa miaka mingi ijayo.
Chanzo: EIU.
Haijawahi kutokea mpinzani akawaza kushinda urais sasa ataibiwaje....Magufuli na CCM watashinda kwa uchaguzi wa kutangazwa na siyo wa kuchaguliwa na wananchi.
Mkuu nina swali.Je hawa wabunge wa upinzani waliimgiaje bungeni.
Je ni CCM iliwaweka kama boya?
Ukinijibu hapo utakuwa umepata jibu kuwa dhana yako si ya kweli.