Uchaguzi 2020 Taasisi za Kimataifa zatoa tafiti zao kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020

gazeti limesemaje juu ya wanakusini waliozulumiwa KOROSHO zao?
 
Tanzani chini ya Magufuli, kuna uchaguzi?

Tumia akili!
Baadhi yetu tuna matatizo ya ubishi tu.Inasikitisha.
 
Mkuu Pascal Mayalla economist wameanza kutusifia lini?
Hawajasifia maana yao ni hakuna demokrasia na utafiti wao unaona nia ya kawaida ya miaka ya kuhujumu uchaguzi ,wao wanachukulia kama Tanzania haiko stable wakilenga kuwshauri wawekezaji waachane nayo kwani haitabiliki.
 
Umesema vizuri sana "chama cha CCM kitachukua viti vingi sana vya UBUNGE" yaani siyo kuchaguliwa
 
Tafiti zao zinaonyesha pia kuwa, chama cha CCM kitachukua viti vingi sana vya UBUNGE na hivyo kuvinyima vyama vya upinzani nafasi nyingi za UBUNGE.

Hawakudokeza chochote kuhusu jinsi ushindi huo mkubwa utakavyopatikana, au hukutaka kutoa ripoti hiyo hapa JF tuione?
 

shige2, asante ila umeweka chumvi nyingi kidogo
In brief

Under the leadership of John Magufuli, the long-standing ruling party, the CCM, will retain a firm grip on power. The government has outlined ambitious plans to improve public sector efficiency and boost living standards, but fiscal limitations will persist. Meanwhile inconsistent policymaking, particularly on trade, will deter investment. Nonetheless, medium-term economic prospects remain fairly strong, supported by a growing services industry and planned public investments in infrastructure.
chanzo:Tanzania Economy, Politics and GDP Growth Summary - The Economist Intelligence Unit
 
Mazwazwa yaongezeka JamiiForums.


 
Iko wapi hiyo habari aliyoleta? Kaandika anachopenda yeye hajaleta habari
 
Ungefanya kuleta hizo tafiti hapa kuliko kuishia kuandika story isiyo na mashiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba hali ni mbaya hapo Lumumba ndio manna tunamuona jiwe akiwa fisadi mmoja mkubwa anayependwa na watu kwa sababu ya nywele nyeupe wakiwa kurasa za mbele kwenye magazeti ya lumumba wakicheka kicheko cha uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…